Is it fair to be a second wife in christian religion

Is it fair to be a second wife in christian religion

Dear Ladies and Gents,
I found A man in which he told me that he wants me to be his second wife and he is a christian.
And as far as I know christian men are not allowed to add a second wife.
I left him but he still need me.
I want my husband only for me .
Je Biblia Inaruhusu Mwanamume Awe na Wake Wengi?

Jibu la Biblia
Kwa muda fulani, Mungu aliruhusu mwanamume awe na wake wengi. (Mwanzo 4:19; 16:1-4; 29:18–29) Lakini Mungu hakuanzisha mpango wa mwanamume kuwa na wake wengi. Alimpa Adamu mke mmoja tu.
Mungu alimwagiza Yesu Kristo akazie mpango aliokuwa ameanzisha awali wa mwanamume kuwa na mke mmoja. (Yohana 8:28) Yesu alipoulizwa kuhusu ndoa, alisema hivi: “Yeye aliyewaumba hao kutoka mwanzo aliwafanya mwanamume na mwanamke na kusema, ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.”—Mathayo 19:4, 5.
Baadaye, mmoja kati ya wanafunzi wa Yesu aliongozwa na roho ya Mungu kuandika hivi: “Kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.” (1 Wakorintho 7:2) Pia, Biblia inasema kwamba katika kutaniko la Kikristo ni lazima mwanamume aliyefunga ndoa na ambaye ana majukumu ya pekee awe “mume wa mke mmoja.”—1 Timotheo 3:2, 12.
 
Everything is fair in love and war
Dear Ladies and Gents,
I found A man in which he told me that he wants me to be his second wife and he is a christian.
And as far as I know christian men are not allowed to add a second wife.
I left him but he still need me.
I want my husband only for me .
 
Bible si kitabu cha historia japo yaliyopo ni story kaa chini uelewe na uhakika hauta uliza hili
Tatizo mkienda agano la kale mnachagua mnayoyapenda na yanayowasuuza roho zenu
Na ndio maana mnakataa wake wengi ila mnashupalia Fungu la 10.
 
Tatizo mkienda agano la kale mnachagua mnayoyapenda na yanayowasuuza roho zenu
Na ndio maana mnakataa wake wengi ila mnashupalia Fungu la 10.
Kwahiyo unatushauri tuwe tunatoasadaka ya kuteketezwa? Maana agano la kale walifanya hivyo
 
Kwahiyo unatushauri tuwe tunatoasadaka ya kuteketezwa? Maana agano la kale walifanya hivyo
Hapana mimi sipendi wakristo wa sasa wa kwenda agano la kale na kuchambua wanayoyapenda (Ukipenda moja chukua yote sio kunyofoa nyofoa ukiacha hiyo ya sadaka ya kuteketeza mnyama) ...Asilimia 99% ya agano la kale ni mikataba ya Mungu na Israel yalikuwa hayawahusu wakrtisto wa Sasa.
 
Dear Ladies and Gents,
I found A man in which he told me that he wants me to be his second wife and he is a christian.
And as far as I know christian men are not allowed to add a second wife.
I left him but he still need me.
I want my husband only for me .
Stick in what you've concluded in your last sentence.
 
Hapana mimi sipendi wakristo wa sasa wa kwenda agano la kale na kuchambua wanayoyapenda (Ukipenda moja chukua yote sio kunyofoa nyofoa ukiacha hiyo ya sadaka ya kuteketeza mnyama) ...Asilimia 99% ya agano la kale ni mikataba ya Mungu na Israel yalikuwa hayawahusu wakrtisto wa Sasa.
Sasa nn kinakufanya uone kuchukua hilo la wake wengi linafaa?
 
Labda sijasoma vizuri na sijasoma sana Biblia,lakini nimesoma baadhi ya maeneo nikaona kuna watu walikuwa wanaoa zaidi ya mke mmoja mfano Yakobo (Israel) na akazaa na wajakazi pia,sasa sijui wajuzi wa mambo wanasemaje kwa hili...!
Some 1 korintho 7:2. Inasema kwasababu ya zinaa, kila mtu na awe na mke wake mwenyewe, na siyo wake..
 
Girl , u need to run from that man , iko hivyi many girls tuko desperate na ndoa , just wait for your man na sio wa kushare na mtu .
 
Hakuna sehem bibilia imemzuia mkristo kuoa zaidi ya mke mmoja, actually bibilia inashauri tuoe zaidi ya mke mmoja. Mkitaka vifungu nawaletea. Mm ni mkristo halali kabisa
Hahahaaa halafu unajiita mkristu kama hata hili dogo hujui??
 
Back
Top Bottom