Is he good in bed??? 2.How he talks!!!

Is he good in bed??? 2.How he talks!!!

vanilla

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
448
Reaction score
360
Leo siongezi wala kupunguza neno. Hawa wanaoandika hizi makala sijui huwa wamefanya research wapi....

man-talking-on-the-phone.jpg

Did you know the pitch of someone's voice is how we often decide if they're sexy or not?

'The lower a man's voice, the more powerful and strong he seems to women,' says Judi James. 'In contrast, a squeaky voice indicates childishness.'

When a man gets turned on, normally his voice will go down in pitch and sound deeper, along with his breathing which also gets deeper.

'This is why men with husky voices are seen as sexy,'. 'The low voice mimics a sexual turn-on.'

A need for speed?

The rhythm of a man's speech is also important in working out whether he's sexy or not. 'A rapid, staccato way of talking is a bit like a man who has an uncoordinated walk,'. 'You just can't imagine that they'll be any good in bed, when a good rhythm is really important.'

And if a man keeps tripping over his words and looks as if he has a blue light flashing over his head all the time, then 'it's a sign of someone who could have a problem with premature ejaculation,' (mmmh!!!! ).

So what should we be looking for as women? 'It all depends on what you want from a man in the bedroom, but someone who talks with great energy and passion is likely to transfer that to how he performs under the duvet.'
 
kwa hiyo sisi tunaoongea kama redio iliyokwisha betri ndio kusema...???
 
Kwahiyo Sir Elton John na sauti yake mororo lazima awe mzuri kitandani....
 
kwa hiyo sisi tunaoongea kama redio iliyokwisha betri ndio kusema...???

ndio kusema kwamba hata kufanya kazi kwa machine ni kama vile iliyokwisha betri LOL!
 
ndio kusema kwamba hata kufanya kazi kwa machine ni kama vile iliyokwisha betri LOL!

Hahaha...
Ni hivi mkuu, performance kitandani sidhani kama ina uhusiano sana na namna ya uongeaji.
Siku zote kumbuka, sex ni sehemu tu ya art of love making, ili watu8 akufikishe Uhuru peak, atahakikisha unapita vituo vyote muhimu ili uuone uzuri wa Kilima Kyaro...
 
ukifanya research lazima kuna ka ukweli kidogo, hebu muulize Kongosho akupe ushuhuda maana naona kama alikubali vile.
 
Last edited by a moderator:
Unataka kunichonganisha na vyereheni?

Ila mwanamme anayeongea kama kasuku anaonekana ana papara, hata kitandani uwekezekani wa kuwa na papara ni hivyo hivyo

ukifanya research lazima kuna ka ukweli kidogo, hebu muulize Kongosho akupe ushuhuda maana naona kama alikubali vile.
 
Acha ubishi kaka. Sex is not pumping in and out. Mi staki kuongelea sana haya makitu, ila jifunze kuongea kwa sauti ya chini, husky hivi. Uwe na siku njema. Usiniulize tena manake sitakujibu!
Hahaha...
Ni hivi mkuu, performance kitandani sidhani kama ina uhusiano sana na namna ya uongeaji.
Siku zote kumbuka, sex ni sehemu tu ya art of love making, ili watu8 akufikishe Uhuru peak, atahakikisha unapita vituo vyote muhimu ili uuone uzuri wa Kilima Kyaro...
 
ukifanya research lazima kuna ka ukweli kidogo, hebu muulize Kongosho akupe ushuhuda maana naona kama alikubali vile.

Hiyo risechi nitaifanyaje na mimi ni mtoto wa kiumeni??
 
Last edited by a moderator:
Acha ubishi kaka. Sex is not pumping in and out. Mi staki kuongelea sana haya makitu, ila jifunze kuongea kwa sauti ya chini, husky hivi. Uwe na siku njema. Usiniulize tena manake sitakujibu!

Hahaha wala siwezi kukuuliza best...kwa taarifa tu sina hulka ya uongeaji.
Hapa tunachofanya ni kujadili mada na kujaribu kuvaa uhusika ili kuleta uhalisia.
Upo sahihi kabisa kuwa sex aint pushin in an pullin out, ndio maana nikasema ni art of love making...soma vizuri maandishi yangu!!
 
Angalau am not insane

Niliamua kuwa 'nice' tu
Ila ukweli mtupu

Hiyo ya lunch tyme nzuri
Ushajaribu ofisi ya mhusika? Kama anayo ya peke yake?
Ni risk ambayo huja-regret kujaribu

Hizi mada sio za kusoma saa za kazi! Mambo ya morning glory na soul dinner naona ni kupeana diet isiyo lazima. Naanzisha lunch tyme snack-quickie.

Back to topic: ukweli mtupu, uwiii!
 
Kuna mahali jana alikomenti AshaDii hadi nikaogopa

Eti anatufindisha kutukana 'passionately' wakati wa mechi, mbaya sana wifi yako

Acha ubishi kaka. Sex is not pumping in and out. Mi staki kuongelea sana haya makitu, ila jifunze kuongea kwa sauti ya chini, husky hivi. Uwe na siku njema. Usiniulize tena manake sitakujibu!
 
hahahahahaaaa...........ulie tu watu8!

hizi theory nyingine mmh...zimenifanya nianze kuwafikiria hadi viongozi wa kisiasa akiwemo Baba nanihii wa pale Mjengo mweupe maana naye ana kasauti kadogo lakini vimwana na watoto si haba...
 
Last edited by a moderator:
hizi theory nyingine mmh...zimenifanya nianze kuwafikiria hadi viongozi wa kisiasa akiwemo Baba nanihii wa pale Mjengo mweupe maana naye ana kasauti kadogo lakini vimwana na watoto si haba...

mhhhh.........i reserve my comments!!!
 
Back
Top Bottom