Kuna ukweli hapa[/QUOTE
Hii itakuwa kweli kwa wanawake wenye choices kama zako. Unataka kuniambia sis tulio wakali na wenye vigugumizi hatufai?
Kongosho, acha kutukatisha tamaa dada.
Kuna ukweli hapa[/QUOTE
Hii itakuwa kweli kwa wanawake wenye choices kama zako. Unataka kuniambia sis tulio wakali na wenye vigugumizi hatufai?
Kongosho, acha kutukatisha tamaa dada.
Sikukatishi tamaaaHii itakuwa kweli kwa wanawake wenye choices kama zako. Unataka kuniambia sis tulio wakali na wenye vigugumizi hatufai?
Kongosho, acha kutukatisha tamaa dada.
Kwani mwenye kigugumizi hana sauti ya kimahabati??
Au hana sauti ya kiume yenye pozi?
Acha woga bana
Niongezee kilo ngapi?...kweli..
ongezea nyama Mkuu
Ya mbuzi au ya ng'ombe?