Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 2,302
- 4,525
- Thread starter
-
- #21
Man made, God is imaginary.Mungu yupo ndani yako. Mara nyingi hufanya kazi kupitia wewe ila kuna kanuni na masharti yake.
Mungu hana huruma na mtu yoyote, mara nyingi anaweza kukupa kile unachokiwaza mara nyingi hata kama ni kibaya
Halazimiki kujibu maombi kwa njia na namna ile unayotaka wewe
Mungu ni wazo na hakuna kitu chochote kinaweza kutokea kabla ya wazo kwanza
I kufikiri na wa kufanya mambo mbalimbali anaamua yeye mwenyewe anayeumba. Ulitakaje, viumbe wawe na uweza sawa na muumbaji? Utukufu na ukuu utabaki ni wake yeye. Ametuumba kwa namna inayompendeza. Na kuna mambo mengi hatuna control nayo, tunabaki kutegemea majaliwa yake.Ukishaona mjadala na maswali kuhusu uwepo wa Mungu (awali ya yote nakusudia Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na nwenye upendo wote), huo mjadala tu ni ushahidi kuwa Mungu huyo hayupo.
Kwa sababu Mungu huyo mwenye sifa hizo hatakiwi kuwa mkatili hivyo kuwanyima uwezo watu kujua kwa uhakika, bila mjadala wala maswali, kuwa yeye Mungu yupo.
Mungu angekuwapo kweli, isingewezekana kuwa na mjadala kuhusu uwepo wake.
Uwepo wake ungejulikana, ungejulikana kwa wote, wakati wote, pahali pote, muda wote, bila shaka yoyote, kwa namna ambayo mjadala kuhusu uwepo wake usingewezekana.
Kwa hiyo, ukiona swali, mjadala, mabishano yoyote, kuhusu uwepo wa Mungu, hilo swali, huo mjadala, hayo mabishano, ni uthibitisho kuwa huyo Mungu hayupo.
Yani huyo Mingu ni kwa kwenye hadithi za kutungwa na watu tu, zaidi ya hizo hadithi, hayupo.
Mwamba uliyemtag anapenda Sana hizi mada😅Cc Kiranga cha ngeba from pwani
Tatizo ni kwamba philosophers and truth seekers argue in order to find where the truth lies ila ukija kwenye upande wa Imani huo ni upande binafsi and your dealing with opinion not facts.Kiwango cha uwezo
I kufikiri na wa kufanya mambo mbalimbali anaamua yeye mwenyewe anayeumba. Ulitakaje, viumbe wawe na uweza sawa na muumbaji? Utukufu na ukuu utabaki ni wake yeye. Ametuumba kwa namna inayompendeza. Na kuna mambo mengi hatuna control nayo, tunabaki kutegemea mahaliwa yake.
Hujathibitisha Mungu yupo.Kiwango cha uwezo
I kufikiri na wa kufanya mambo mbalimbali anaamua yeye mwenyewe anayeumba. Ulitakaje, viumbe wawe na uweza sawa na muumbaji? Utukufu na ukuu utabaki ni wake yeye. Ametuumba kwa namna inayompendeza. Na kuna mambo mengi hatuna control nayo, tunabaki kutegemea majaliwa yake.
Nothing exist without prior imagination of it.Man made, God is imaginary.
I disagree, if you're statement is real can you prove it with vivid reasons.Nothing exist without prior imagination of it.
Hata kuzaliwa kwako ilikuwa ni imagination ya baba na mama yako.
Mungu ni wewe mwenyewe.Mungu yupo ndani yako. Mara nyingi hufanya kazi kupitia wewe ila kuna kanuni na masharti yake.
Mungu hana huruma na mtu yoyote, mara nyingi anaweza kukupa kile unachokiwaza mara nyingi hata kama ni kibaya
Halazimiki kujibu maombi kwa njia na namna ile unayotaka wewe
Mungu ni wazo na hakuna kitu chochote kinaweza kutokea kabla ya wazo kwanza
Sio philosophical beliefsUwepo wa Mungu ni philosophical beliefs, sio real kisayansi, ila ni inaweza kuonekana ni real ndani ya akili ya mtu aliye taka kuamini hivyo
Ni mada zilizo katikati ya mambo mengi sana yanayoongoza maisha yetu.Mwamba uliyemtag anapenda Sana hizi mada😅
RedefinitionNothing exist without prior imagination of it.
Hata kuzaliwa kwako ilikuwa ni imagination ya baba na mama yako.
Kabla umesema Mungu ni wazo tu (imaginary)I disagree, if you're statement is real can you prove it with vivid reasons.
Universe is infinity(based on speed of light hatujawahi kupata an edge ya mwisho), this is scientifically proven based on what we have explored as human. Let's try to be more concise what are thoughts, maan yake ni mkusajiko wa taarifa mbalimbali zinazojaribu kuleta maana. How can you compare something real from information?Kabla umesema Mungu ni wazo tu (imaginary)
Je kuna kitu gani kingine unaweza kuleta hapa duniani bila kuwa na wazo kwanza?
Vitu vyote vinaanza kwa wazo tu kwanza, haijalishi ni kikubwa kiasi gani leo lakini kabla lilikuwa ni wazo tu kichwani kwa fulani
Hata hii JF kuna mtu aliwaza kwanza ndiyo akaunda hii tovuti, haikutokea tu out of no where
Wewe ni mungu (una kikomo chako na unaweza kuumba chochote kutokana na vilivyopo tayari) na yupo yeye sasa ambaye ni Mungu au MUNGU (yeye hana kikomo na anaweza kuumba chochote bila kutumia chochote)Mungu ni wewe mwenyewe.
Sasa huku ni saa nne usiku, ni lazima nilale sasa. Tukijaaliwa kesho nitaingia tena.Universe is infinity, this is scientifically proven based on what we have explored. Let's try to be more concise what are though, maan yake ni mkusajiko wa taarifa mbalimbali zinazojaribu kuleta maana. How can you compare something real from information.
🤝🤝🤝Sasa huku ni saa nne usiku, ni lazima nilale sasa. Tukijaaliwa kesho nitaingia tena.
Kwa nini sioSio philosophical beliefs