Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,761
- 145,540
sifahamu,jibu swali kadri unavyoulizwa.
Swali lako unauliza kwa kutumia nini?
sifahamu,jibu swali kadri unavyoulizwa.
Hahahah bange hizi sio bure...
Lazy.. ukamilifu ni nini? 🙂
hii ni meseji ya ukimwi zaidi..
Swali lako unauliza kwa kutumia nini?
jibu swali uliloulizwa then nawe uliza swali
Swali lako unauliza kwa kutumia nini?
Jibu la swali lako kutoka kwangu linahitaji unijibu kwanza.
nimekujibu tayari. nawe jibu LOGIC NI.NINI.NA CHANZO CHAKE NINI ?
mawazo haya hayawezi toka kwenye kichwa cha binadam...
Labda bado.linyani.linaevolve kulelekea kwenye sijui unini.
maana bin adam ni kutokana na adam aliyeumbwa
mawazo haya hayawezi toka kwenye kichwa cha binadam...
Labda bado.linyani.linaevolve kulelekea kwenye sijui unini.
maana bin adam ni kutokana na adam aliyeumbwa
Thibitisha kwamba mungu yupo!.Huwezi hata kujitetea kwa hoja bali matusi na lugha chafu.Ndio maana mnawekwa kwenye Ignore list mnabaki kulalama mwaka mzima
Ukamilifu for one ni kutohitaji chochote.
Kutohitaji kuumba, kutohitaji kuabudiwa, kutohitaji sheria wtc.
Ukihitaji kitu tu, hujakamilika.
Sasa mungu wenu mkamilifu imekuwakuwaje mpaka akaumba?
Mungu gani unayemzungumzia?maana naona sifa yake ya kuumba hutaki kuisikia lakini hapohapo ndiyo unasema ni udhaifu wake.
Au labda unazungumzia miungu ile ya sanamu!
Maana vichekesho vitupu.
I am in a deep thoughts,Is God really fair?
For instance...how come mtu unajitunza for so long timeas as a woman or a man)then it reaches a point unadecide kuwa na maisha...you open up your heart to sb...you give him/her everything full committed then what you get in return ni maumivu yasiyoeleweka na HIV juu
Kinachosikitisha ni kuwa....wale ambao ni waru waru,are enjoying life to the fullest...IS GOD REALLY FAIR?
NISAIDIENI cause spmetimes i do fail to explain
Hujajibu swali.
Swali legitimate kabisa.
Halafu huna hata ustaarabu wa kujibu au kusema hujui jibu kama hujui.
Unaleta viroja badala ya hoja.
Swali lako umeuliza kwa kutumia nini? Habari ya swali kiwa na jibu ni nini?
Mengine unaweza kuona swali kumbe jibu.
Logic ni mpangilio sawa wa dhana, na chanzo chake no kufikiri.
Ulitaka niseme chanzo chake mungu?
Naonyesha contradiction.
Mungu mkamilifu kabisa, hahitaji chochote. Hahitaji hata kuumba.
Mungu wenu mnasema mkamilifu.
Hapo hapo kaumba.
Kaumba kwa sababu gani na yeye mkamilifu kabisa?
Alijisikia lonely kukaa mwenyewe akataka kampani viumbe wafanye vituko na yeye a play Judge Judy na kusujudiwa apate kitu cha kupitisha muda?
Before asking if god is fair, an even more fundamental question is, does god exists or is this just a false idea?[/QUOTE this is a fundamental question and must be posed to people so as to scrutinize the beliefs that we have upheld for too long unconsciously whether are true or false.