Is God fair ?

Kila kitu kina sifa zake,kwahiyo unapomzungumzia Mungu basi inabidi ukumbuke kuwa kati moja ya sifa zake ni kuumba.

Twende taratibu.

Kwa nini mungu kaumba?

Kwa nini mungu mwenye ujuzi wote na ukamilifu wote aone haja ya kuumba?
 
Mbona kulaumiana kumezidi zaidi ya hoja hii inamaana huwezo wenu wa kubishana kihoja umefika kimono..

Siwezi kubishana kihoja na mtu anayeuliza logic ni nini.

Unamuuliza mtu, imekuwaje mungu mkamilifu aone haja ya kuumba? Kuona haja ya kuumba kwenyewe tu si kukosa ukamilifu?

Mtu anakosa jibu, anskosa hoja, analeta viroja.
 

Msingi wa uumbaji wake ni upi?
 

mantiki ni nini na chanzo na kipimo chake hujajibu.
kutumia kitu chenye maana usiyoijua na kutaka ueleweke ni majanga.
jibu kwanza mantiki ni nini ? nini chanzo/asili yake na kipomo chake.
 
Kwa nini mungu kaumba?

Kwa nini mungu mwenye ujuzi wote na ukamilifu wote aone haja ya kuumba?

Nimekwambia kila kitu kina sifa zake,ukamilifu na ujuzi wote hizi ni sifa za Mungu na nikakwambia Mungu anayo pia sifa ya kuumba.kwahiyo unapo hoji kitu kwanza lazima ujue sifa za hicho kitu.
 

Aisee, even more contradiction, kwa hiyo huyo jamaa naye si mungu pia (kwa maandiko yenu)? Sasa hiyo roho aliiweka wapi ilhali nao hao watatu mnadai kwamba ni mmoja?
 
God is always fair & everything happens 4 a reason,never loose hope & faith

Sijui utakuwa wa imani gani but try to read

1 Corinthians 10:13

Really?

Tell that to the Haitians and their earthquake;
Tel that to the victims of 2004 tsunami;
Tell that to the victims of Ethiopian famine of 1980s;
Tell that to the victims of Rwandan 1994 genocide;
etc., etc!

CC: Kiranga
 
Siwezi kubishana kihoja na mtu anayeuliza logic ni nini.

Unamuuliza mtu, imekuwaje mungu mkamilifu aone haja ya kuumba? Kuona haja ya kuumba kwenyewe tu si kukosa ukamilifu?

Mtu anakosa jibu, anskosa hoja, analeta viroja.

Lazy.. ukamilifu ni nini? 🙂
 
Ikawa mchana ikawa usiku ,siku ya kwanza!,Kisha mungu akaumba ardhi na mbingu,sijui na vitu gani,afu mwisho akaviona vyote ni vyema!.

Iwapo mungu(kama yupo)mwenye mamlaka yote anapata wazo la kuumba kitu kwa umbo flani basi lazima kuna mahala anapotoa wazo hilo.Mungu (kama yupo)hawezi akawa ama akaona haja ya kuumba.Yaan kitu /mtu mwenye uwezo wote aspend siku sita anaumba?.


There is NO god but only the Idea that there is god!.
 
Mimi kama mwanadamu ama kiumbe hai nikihitaji kunywa maji ni dalili kwamba sijakamilika kwa maana bila hivyo nitasafa kwa kiu.Nikihitaji kwenda mjini maana yake nitasafiri hadi mjini hiyo ni dalili kwamba sijakamilika kwa maana ningeweza kuwa mjini wakati ule ule kama ningekuwa n uwezo wote.

Kitendo cha mungu wenu kuona haja ya kuwa na viumbe hai na kuspend dayz akiviumba ni dalili ya kutokamilika kwake kama yupo.Kwa maana ile kuwaza tu kwamba nahitaji kuwa na ulimwengu wa aina hii ama viumbe wa aina hii ni kutokamilika kwenyewe.Kwa maana hiyo kwa uumbaji mungu wenu alidhani atakamilika ndio maana alikuwa anaona kila alichokiumba ni chema.Ile kuona tu kwamba ni chema ni udhaifu tayar.


Lakini pamoja na hivyo inasemekana kwamba bado mungu wenu (kama yupo)aliona haja ya kuwaletea mkombozi!(wale wa jumapili mnamwita yesu),na mitume kwamba aje kuwakumbusha eti mungu wenu anataka mfanye nini.


Hizi ni dalili kwamba HAKUNA mungu ila ni harakati tu za mwanadamu za kutaka kumuumba mungu.

Karibuni katika ulimwengu huru.
 

mawazo haya hayawezi toka kwenye kichwa cha binadam...
Labda bado.linyani.linaevolve kulelekea kwenye sijui unini.
maana bin adam ni kutokana na adam aliyeumbwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…