Unaonyesha Tu namna ulivyo nguri katika kumariri ..
Umeulizwa swali ni nini kimekufikisha uamini kwamba uwezo wote, ujuzi wa yote na Upendo wote ndiyo hitaji pekee la kuumba ulimwengu ambao Kiranga anautaka.
Hiyo logic consistency yako inakukataza kujibu maswali ?
Au bado unatafuta ama bado unakariri majibu ?
Hili swali halina jibu, ni contradiction.
Niliuliza hapo juu, unajua contradiction ni nini?
Swali limejengwa katika msingi wa kwamba mungu yupo ili kuonyesha kwamba mungu hayupo.
Ni sawa na mtu akikuuliza rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?
Huwezi kujibu, kwa sababu msingi wa swali ni kwamba wimbo una rangi, kitu ambacho si kweli.
Vivyo hivyo, msingi wa swali ukiwa kwamba mungu yupo, wakati hayupo, na hii contradiction inaonyesha mungu hayupo kwa sababu gani, huwezi kuwa na jibu la kueleweka.
Utawezaje kuwa na jibu la kueleweka - zaidi ya kukubali kwamba hujui au mungu hayupo- kuhusu mungu wakati mungu mwenyewe hayupo?
Hehehe...mbona unajichanganya mkuu? Uliyeuliza swali ni wewe na ukadai watu wameshindwa kukujibu, mie ndiyo nikakwambia basi nipe mfano wa jibu lenye kutakiwa kujibiwa lenye kuendana na swali lako. sasa tena unaibuka na kusema kwamba hilo swali halina jibu et ni contradiction.
Swali lako la kwanza uliuliza kwanini Mungu kaumba ulimwengu ambao kuna maovu?hili swali hushajibiwa na ndiyo ukajakuibuwa swali lengine ambalo hata wewe mwenyewe hulielewi, kwamba et kwanini Mungu hakuumba ulimwengu ambao hauna maovu?
Swali hilo ndiyo utata ulipoanza,wapo waliyokujibu kuwa Mungu anaamua mwenyewe ni vp aumbe na wengine wakakujibu hawajui kama ulivyosema.
Na hayo majibu yote yapo sawa kwa sababu yeye ndiyo muumbaji hivyo ndiye mwenye kuamua aumbe vp, huwezi kutuuliza kwamba kwanini afanye hivi na kufanya vile ila tunachokijua na ndiyo cha msingi ni kwamba tunajua kwanini ameumba hivi.
Ila wewe ukakataa ukasema hayo si majibu, ndipo nilipokuomba unipe mfano wa jibu ambalo litatupa uelewa wa kuweza kujibu swali lako. Umeshindwa kufanya hivyo unalazimisha kuwa halijibiki ni contradiction.
Jibu la mungu anaamua mwenyewe si jibu la swali langu.
Sijauliza nani anaamua, nimeuliza kwa nini anaamua hivyo.
Kusema mungu anaamua mwenyewe ni kukubali hujui jibu kwa nini, hawa hawana tofauti na waliosema hawajui. Waliosema hawajui wamekuwa wakweli na wawazi zaidi tu.
Kutoka hapo tushaona wote hawajui.
Wanaamini kitu wasichokielewa.
Maana yake wanaweza kuwa wanaamini kitu kisichopo.
Kwa maana kama huelewi msingi na motive ya mungu kiasi cha kuondoa contradiction ya mungu kujipinga mwenyewe, hujaelewa kweli kama huyo mungu yupo au la.
Ndipo hapo nasema mungu hayupo, na hujaweza kunieleza kwamba yupo.
Kwa sababu hata kuondoa contradiction hii umeshindwa.
Jibu litakaloweza kuridhisha ni lile ambalo litaondoa contradiction hii logically, ambalo hamjalitoa.
Wapi nimeandika kwamba uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ndiyo hitaji pekee la kuumba ulimwengu ambao Kiranga anautaka?
Ushawahi kusoma set theory maishani mwako?
Jibu la mungu anaamua mwenyewe si jibu la swali langu.
Sijauliza nani anaamua, nimeuliza kwa nini anaamua hivyo.
Kusema mungu anaamua mwenyewe ni kukubali hujui jibu kwa nini, hawa hawana tofauti na waliosema hawajui. Waliosema hawajui wamekuwa wakweli na wawazi zaidi tu.
Kutoka hapo tushaona wote hawajui.
Wanaamini kitu wasichokielewa.
Maana yake wanaweza kuwa wanaamini kitu kisichopo.
Kwa maana kama huelewi msingi na motive ya mungu kiasi cha kuondoa contradiction ya mungu kujipinga mwenyewe, hujaelewa kweli kama huyo mungu yupo au la.
Ndipo hapo nasema mungu hayupo, na hujaweza kunieleza kwamba yupo.
Kwa sababu hata kuondoa contradiction hii umeshindwa.
Jibu litakaloweza kuridhisha ni lile ambalo litaondoa contradiction hii logically, ambalo hamjalitoa.
"Sijauliza nani anaamua, nimeuliza kwa nini anaamua hivyo."
Na ndiyo maana wewe hadi sasa umeshindwa kutoa mfano wa jibu la swali hilo.
Na hapo ili iwe ni contradiction tuambie basi kwani Mungu anaamua kuumba kwa misingi ipi ili hadi uumbaji wake wa ulimwengu huu iwe ni contradiction?
Hehe...nashukuru kwa kulielewa swali sasa haya twende kazi.
Ukisema "kwa nini " mjibu swala anatakiwa aanze na kusema "kwa sababu" sasa wewe mtaalam wa set theory unanutuma nimuulize Ishmael aniambie "kwa nini " Kiranga kakomaa na maswali yake ya kijinga ?
Kwa akili yako pungufu unafikiri Ishmael atakuaje kinachokusukuma wewe kuuliza maswali yaliyosheheni majinga majinga ?
Unauliza kitu ambacho ni obvious ?
Huko kukariri set theory kumefisha uwezo wako wa kufikiri unaostahili kuwepo katika uwezo wa kila binadamu mwenye akili timamu?
Kwa kuwa unafikiri kuwepo kwa kitufe cha ignore list kuwa ndiyo kinga ya wewe kuwagongea wale wenye hoja zinazokukera; basi waona hata Mungu anawajibika kuumba ulimwengu unaotamani wewe kwa kuwa Tu alikuwa na uwezo,Upendo,na nguvu zote bila kujali kama ni kweli hivyo vigezo ni pekee vinavyohitajika kufanya au kutofanya kitu...
Kama mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu huu wenye kuwezekana kuwa na mabaya na mateso, basi kauumba kwa kujipinga nature yake yeye mwenyewe ya upendo wote na ujuzi wote.
Contradiction ni kitu kinachojipinga chenyewe.
Like an "accurate estimate". there is no such thing. Another one is a "square circle". No such thing.
Your god is equally a contradiction, his said nature is totally different from his supposed creation. How could you reconcile the two?
Jibu la mungu anaamua mwenyewe si jibu la swali langu.
Sijauliza nani anaamua, nimeuliza kwa nini anaamua hivyo.
Kusema mungu anaamua mwenyewe ni kukubali hujui jibu kwa nini, hawa hawana tofauti na waliosema hawajui. Waliosema hawajui wamekuwa wakweli na wawazi zaidi tu.
Kutoka hapo tushaona wote hawajui.
Wanaamini kitu wasichokielewa.
Maana yake wanaweza kuwa wanaamini kitu kisichopo.
Kwa maana kama huelewi msingi na motive ya mungu kiasi cha kuondoa contradiction ya mungu kujipinga mwenyewe, hujaelewa kweli kama huyo mungu yupo au la.
Ndipo hapo nasema mungu hayupo, na hujaweza kunieleza kwamba yupo.
Kwa sababu hata kuondoa contradiction hii umeshindwa.
Jibu litakaloweza kuridhisha ni lile ambalo litaondoa contradiction hii logically, ambalo hamjalitoa.
Nimekuuliza kwani maamuzi ya Mungu ya uumbaji huwa kwa misingi ipi ili tuweze kukubali kuwa kwa uumbaji huu ni kweli kuwa ni contradiction?
Kama mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu huu wenye kuwezekana kuwa na mabaya na mateso, basi kauumba kwa kujipinga nature yake yeye mwenyewe ya upendo wote na ujuzi wote.
Contradiction ni kitu kinachojipinga chenyewe.
Like an "accurate estimate". there is no such thing. Another one is a "square circle". No such thing.
Your god is equally a contradiction, his said nature is totally different from his supposed creation. How could you reconcile the two?
Point of correction;
"Sijauliza nani anaamua,kwa nini anaamua hivyo "
Ungeaandika;sijauliza nani amemuamulia...
"Kwa nini anaamua hivyo"
Ni kinyume na swali lako la msingi ambalo unahoji " mungu mwenye uwezo wote, Upendo wote na nguvu zote kwa nini hakuumba ulimwengu unaotaka wewe.
Kimsingi unahoji kwa nini hakutumia sifa zake kuumba ulimwengu uutakao wewe.
Maana ukiuliza kwamba "kwa nini anaamua hivyo" Mimi nitakujibu kwa sababu alitaka na sisi tushiriki uumbaji kwa kutumia changamoto zilizomo kwenye ulimwengu huu ambao ni kutokana na kazi yake njema kwa kutumia hekima na utashi aliotupa.
Sasa hapo hamna set theory sijui Kama utaelewa....
Fallacy of definitions syndrome;
Uwezo wote ni nini na unatumikaje ?
Ujuzi wote ni nini na kipimo chake ni nini ?
Upendo wote ni kitu gani ?
Ni nini msingi wa tafairi zako ?
Ni dini au Sayansi.
Naomba usibonyeze ignore list plz
Kwa hivyo atakuwa mjinga kuhusu sababu ya mimi kuuliza maswali yangu siyo?
Nimeuliza kwa nini mungu kaamua hivi na si vile.
Nimejibiwa mungu anaamua tu.
Hence my quipping.
Ukinijibu mungu anaamua tu, hujajibu swali langu la kwa nini mungu kaamua.
Umejibu swali jingine, la nani kaamua, ambalo sijauliza.
Umejibu swali ambalo hujaulizwa, uliloulizwa hujajibu.
Sijahoji uumbaji wake kwa kutaka ulimwengu ninaoutaka mimi.
Nimehoji kwa nini uumbaji wake hauna logical consistency?
Huku ana uwezo wote na upendo wote, huku anaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana.
Kwa nini?
Mwenye uwezo na upendo wote haumbi ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kwa viumbe wake.
Ulimwengu ungekuwa hauwezekani mabaya, ungekuwa logically consistent na mungu anayeweza yote na mwenye upendo wote.
Lakini kwa sababu ulimwengu unawezekana kuwa na mabaya, hauko logically consistent.
Kwa nini?
Doesn't the world contradict your god?
Umesoma biblia/ quran?
Ndiyo; katika kitu kikuu ambacho tunauhuru wa kutumia pasipo kuingiliwa na mwingine awaye yote ni UHURU WA KUWAZA NA KUAMUA NAMNA YA KUTUMIA ULICHOWAZA,hivyo ni juha pekee atayeuliza wenzie wamweleze sababu za MTU mwingine kuwaza na kuamua namna alivyoamua.
Lakini mtaalam wa set theory wewe waona kitendo cha Ishmael kutojua sababu za Kiranga kuamua anavyoamua ni kutokumjua Kiranga na kuonyesha kwamba Kiranga ni dhana Tu ukweli Kiranga HAYUPO.
Nope; it is you; who contradict your own mind