Kabla ya kusema "whatever god chooses to do, it is his choice" thibitisha kwanza kwamba mungu yupo.
Na kwa nini iwe "his choice" na si "her choice".
Mungu wenu anaendekeza mfumodume?
Swali nilijibu mara ngapi.
Nishakwambia sijui.
Unajua kusoma?
Nikikwambia siju, hilo ndio litathibitisha kuwapo kwa mungu?
Mimi kutokujua jibu la swali hili kunathibitishaje kuwapo kwa mungu?
Logical "non squitur".
It does not follow.
Just because I do not know the answer to this question, it does not follow that your answer must be the right one.
Just because I do not know the answer to the square root of 2, it does not mean your answer of eight is correct.
Moreover, I may know that a certain answer is wrong even without knowing the correct answer.
If I know that the quare root of two must be smaller than two, I will know that your answer of eight is wrong.
Even without knowing the right answer precisely.
Ushaelewa jinsi swali lako lisivyo na mantiki katika habari nzima ya kuthibitisha kuwepo kwa mungu?
Ushahidi wa kwanza wa mtu anayetaka kucheza kwenye ignore list.
Bado hujajibu QM ni nini.
Na wala hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Unaona sasa matatizo yako.!
Wewe vitu VINGI TU HUJUI lkn UNAKUBALI KUWA VIPO 100%.
Lkn Linapokuja SUALA LA MUNGU unataka MPAKA UJUE ndipo Ukubali kuwa YUPO.
Ndio nikakushauri USIWE ARROGANT.
Kwani Iko siku Utakuja kujuta kabisa kwa hii arrogance yako.
Lakini kutokuelewa ushahidi upewao kuwepo kwa Mungu kunathibitisha kwamba Hayupo ? Mindless
Kiranga weledi wa lugha ni muhimu sana ktk majadiliano km haya.
Na ukiwa HUNA ELIMU hii ya LUGHA basi siku zote Utapata tabu sana.
Sasa labda kabla ya kukufundisha km tuko Shule nikuulize hapa kidogo.
Kwanini Nchi yyt Duniani Tunaipa cheo cha (SHE) na sio (HE)? Kwani hizi nchi ni Mfumojike?
Na hata Meli kubwa au Vyombo vya usafiri tunavipa vyeo vya (SHE).
Na hizi meli pia ni MFUMOJIKE?
Je! Unafahamu maana ya "Singular of RESPECT?
Ukiweza kupata majibu hayo Utafahamu KWANINI MUNGU akapewa Cheo cha "HE" na sio "SHE".
We will get there my friend.
Patience is required here.
Mungu mkuu akuonyeshe Mwanga Kijana wetu kiranga. Na akuondolee uchache wa weledi .
Amen.
Hilo ndiyo jibu sio unauliza maswali halafu useme ndiyo jibu.
Ok umesema hujui Je,kuna uwezekano wa kwamba huu ulimwengu kutokea tu wenyewe?
Ukikumbushwa kuwa mkarirshwa au MTU mwenye Chuki na Mungu unataka kukimbilia ignore list
Uzima wa mind Kama unayo unashaka Sana.
No wander unashangazwa na uwepo wa muweka free will na morals Kama QM ni kichina kwako.
Na wewe hujathibitisha kwamba Mungu hayupo au umejuaje kutokuwepo kwake ? Je hayupo yako ni matokea ya athari za mwezi mchanga au imani Tu na labda kuna ujuzi nyuma yake...
Umebakia kuhoji uthibitisho wa vithibitisho ili kurefusha mjadala.
Mindless
Mungu hayupo.
Huwezi kubadili mungu awe fair wakati hayupo.
Katungwa tu na watu ili kurahisisha maswali magumu yasiyo na majibu yawe rahisi.
Kama yupo thibitisha.
Kuna watu wamezaliwa na negativities mda wrote ila maswali ya hivi mie siwezi kujiuliza hats siku moja make hatari take no kubwa kuliko na mpaka unakufa kamwe hautoweza kupata jibu unaloluhitaji wewe sasa ya mini inisumbue mind yangu
Wewe hujui maana ya "QM"Kujua ni nini?
Hujathibitisha keamba mungu yupo.
Kisichopo hakithibitishiki.
Unaweza kuthibitisha na kunipa alama za vidole za mwizi asiyekuwapo wala kuwahi kuwapo?
Sijui.
Lakini hilo halothibitishi kiwepo mungu.
Ukitokea wenyewe si lazima mungu awepo.
Usipotokea wenyewe si lazima mungu awepo.
Kuuliza swali si negative mind. Ukiuliza una matumaini ya kujibiwa na kuongeza uelewa.
Kusema huwezi kuuliza na kuhitimisha kwamba swali halina jibu kabla hata hujauliza ndiyo negative mind.
Ushahitimisha swali halina jibu kabla hujauliza, now that's negative.
Sijui.
Lakini hilo halothibitishi kiwepo mungu.
Ukitokea wenyewe si lazima mungu awepo.
Usipotokea wenyewe si lazima mungu awepo.
You are not answering my questions.
Why would a perfect god need laws?