Kutwa kuuliza maswali ya ubishi halafu unadai kuna watu wanakuelewa.
Lama yeye mungu anajiamulia tu mwenyewe amuumbe nani, kqa wakati gani, wapi, kivipi etc, utasemaje sie viumbe tunaojikuta tumeshaumbwa tu bila kuulizwa wala kupewa uchaguzi tuna free will?
Mbona unajipinga mwenyewe?
Unafahamu free will ni nini?
free will inaanzia wapi? navyoelewa kitu ambacho hakipo hakiwezi kuwa na utashi. utashi unakuja baada ya mtu kuwepo. so God anafacilitate existence ya mtu then thereafter u choose your path as a free being. kama wewe ulivyoamua kuwa atheist
Utasemaje kitu ambacho hakipo hakiwezi kuwa na utashi wakati tunamjadili mungu muweza vyote?
Mungu alishindwa kuwapa namna viumbe waamue kama wanataka kuumbwa au hawataki?
Kama alishindwa, huyu mungu ni muweza yote kweli?
Lama aliweza na hakutupa namna hiyo, je, huyu mungu anathamini free will kweli kwa kutuumba bila kutuuliza kama tunataka kuumbwa?
exactly, ni Mungu muweza wa yote hivyo anaamua yeye nini kiwepo na kisiwepo. kwa nini unataka uulizwe kama unataka kuexist ama la? kwa sababu hukuulizwa huwezi kuhitimisha kuwa yeye si muweza wa yote.
hakika ni muweza wa yote ndo maana tuko huru na wewe unampinga na hakufanyi chochote. laiti angetuumba misukule ungesema hajiamini
Kama ni muweza yote na anaamua yeye tu basi huwezi kusema viumbe tuna free will.
kwa nini unapenda ubishi? wewe umeamua kuwa atheist...... hiyo siyo free will? isn't that freedom???? kwa hiyo wewe shida yako ni Mungu kuweza yote? kuna mdau alisema God is nature, nature is law. u can't change the law of nature, it was meant to be that way. kiranga kwa nini unamchukia Mungu?
Huwezi kusema mungu anaamua peke yake nimuumbe Kiranga, halafu Kiranga akajikuta ameumbwa tu, hajaomba wala ku negotiate aumbweje au wapi, halafu ukasema Kiranga ana free will.
Utakuwa unachekesha.
Habari ya freewill ni changa la macho.
swali rahisi tu
hivi mwizi anapopigwa ni fair au sio fair ??
Kwa nini mungu muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote aumbe ulimwengu ambao kiumbe wake anaweza kuwa mwizi na kupigwa wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao wizi hauwezekaniki?
swali rahisi tu
hivi mwizi anapopigwa ni fair au sio fair ??
hebu jibu hili swali
Huwezi kusema mungu anaamua peke yake nimuumbe Kiranga, halafu Kiranga akajikuta ameumbwa tu, hajaomba wala ku negotiate aumbweje au wapi, halafu ukasema Kiranga ana free will.
Utakuwa unachekesha.
Habari ya freewill ni changa la macho.
Sio fair,
Kwa sababu a fair world does not have thieves to begin with.
wewe una free will?
wewe unapoibiwa ni fair sio fair ??
Free will niiitoe wapi wakati hata tumbo langu siwezi kuli control?
Wewe una free will?
Sio fair.
In a fair world nobody can steal from anybody, because everybody has tye same mental capacity. Hakuna aliyemzidi mwingine.
That is a world pointing to intelligent design.
The fact kwamba mabaya kama kuibiana yanawezekana katika ulimwengu huu inaonyesha kwamba ulimwengu huu haujaumbwa na mungy mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Kwanini huwezi kuli contor ??
unataka liweje ili ulicontrol ??