He is always there. He is our creator and life source of our very being. He is the force behind that unexplainable energy that gives the heart charge to pump blood through our veins. He is the engineer of that wonderful central processing unit called the brain, which the most brilliant of scientist have yet to fully understand. I could go on, but I think you know where I'm heading.....This should end here.
Please give respect to mwenye hoja ambae kwasasa ameridhishwa na jibu la hapo juuna.
"Let there be a God who created the heavens and earth so the world can make sense again"
Amen amen amen,i now understand well that God os very good and very fair...i adore him....Thanks once again and bless you
Stay blessed naamini hata malaika wa mbinguni wanatabasamu..Amen amen amen,i now understand well that God os very good and very fair...i adore him....Thanks once again and bless you
This should end here.
Please give respect to mwenye hoja ambae kwasasa ameridhishwa na jibu la hapo juuna.
"Let there be a God who created the heavens and earth so the world can make sense again"
Stay blessed naamini hata malaika wa mbinguni wanatabasamu..
Mungu hakuwahi kumuumba mtu anayeitwa Shetani..Mungu alimuumba Lusifa malaika aliyekamilika,akiwa amejaaliwa vipaji lukuki...ulafi wa madaraka,kutoridhika na alichopewa,kujisikia ndiyo sababu ya yeye kuitwa Shetani....nimejifunza kitu,shetani alifanikiwa kuwarubuni theluthi ya Malaika kuwa Mungu ni Katili na ni dikteta..so Mungu alifanya kitu kizur sana kutokumuangamiza shetani kwa sababu moja ambayo binafsi nimeigundua...kama angemmaliza-Shetani na Malaika waliomsupport angejenga tabaka na malaika waliobaki upande wake kuwa kile Lucifer alichokuwa akiwaambia ni kweli
I am in a deep thoughts,Is God really fair?
For instance...how come mtu unajitunza for so long timeas as a woman or a man)then it reaches a point unadecide kuwa na maisha...you open up your heart to sb...you give him/her everything full committed then what you get in return ni maumivu yasiyoeleweka na HIV juu
Kinachosikitisha ni kuwa....wale ambao ni waru waru,are enjoying life to the fullest...IS GOD REALLY FAIR?
NISAIDIENI cause spmetimes i do fail to explain
Huyo Lucifer ulafi wa madaraka na kutoridhika alivipata wapi?
Mungu aliwaumba malaika wakiwa na utashi na akili kamili. hivyo kutoridhika kwa Lucifer kulianzia ndani mwake mwenyewe
Mungu alishindwa kuwaumba malaika wakiwa na utashi kamili katika ulimwengu usio na kutoridhika?
ulimwengu upi? kutokuridhika kumeanzia kwa Lucifer mwenyewe, ndani yake mwenyewe. hakuna ulimwengu hapo
Kwa hiyo mungu si muumba wa vyote?
Ulimwengu ambao unaruhusu kutokuridhika kuanzie ndani ya Lucifer mwenyewe kauumba nani?
unajua effect ya mtu kupewa utashi au free will? Mungu alimuumba Lucifer akiwa ni malaika mwema, akampa uhuru wa kuwaza chochote. Uhuru ukampelekea kuwa na kiburi. sasa je tumlaumu aliyemuumba Lucifer? MUNGU HAKUUMBA KUTORIDHIKA. ubaya wote umeanzia kwa Lucifer.
Free will itoke wapi?
Mungu alipomuumba Lucifer alimuuliza kwanza kama anataka kuumbwa au hataki?
wewe kabla ya kuzaliwa uliulizwa? yeye ni Mungu hivyo anaamua amuumbe nani kwa wakati gani. na Mungu hakutaka viumbe wake wawe kama misukule hivyo kuwapa akili na Uhuru wa kuchagua. wewe ulitaka Lucifer aulizwe?
Mungu alishindwa kuwaumba malaika wakiwa na utashi kamili katika ulimwengu usio na kutoridhika?