Haya ya Qurani kusema umeyapata wapi?
Umesoma Quran wewe (Ilmu-madrasa)?
Je unaposoma unaelewa "context" ya unayoyasoma?
Hata kama sina akili.
Hilo halithibitishi kwamba mungu yupo.
Hilo litathibitisha....sasa jibu swali. Unazo aliki, Mkuu Kiranga?
Jibu kwanza ili upate uthibitisho.
Unazo akili?
Swali hujaweka relevancy yake. Weka relevancy ya swali.
Nishakwambia either answer to your question does not prove the existencebof god.
Show me how either answer proves your assertion.
Nimesoma kwenye Quran.
Context ni chaka la deus ex machina.
Ukianza habari za context unaweza kutafsiri ni kuwa si.
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote aache kitabu chake kiweze kuwa intetpreted out of context?
We ndo nyau kweli, kwani unayempa huo moyo na kitumbua ni God? Walaumu hao hao unaowapenda wakati hawakupendi, na unawapa uroda bila kupima na mbaya pekupeku..
Kwa nini ulisoma Quran ?
Ulikuwa na lengo maalum lilikusukuma kusoma Quran?
Utatu umekuathiri vibaya sana, Kiranga.
Unakimbia kujibu swali.
Kiranga unazo akili?
We tatizo unadhani ushamaliza hoja zote kuhusu uwepo wa Mungu. Mimi nakuuliza swali jingine wewe unajiundia maswali halafu unajijibu. Nimekuuliza tupo hapa au hatupo na kama tupo tumefikaje? More fundamentally nimekuuliza universe imetokea tu yenyewe hujajibu unakimbilia kusema nimesema kuna link, wapi mimi nimeandika kuna link?!! Mbona una haraka sana??!!Maswali gani ambayo sijayajibu?
Au naandika katika lugha ambayo huifahamu?
Kuhusu are we here or not, nishajibu hili mara mia, that does not automatically link to a god.
You need to show the link.
Why are we here because of a god and not anything else?
If you can't show the link, and conclude as if there is a link, that in logic is an error called a "non sequitur".
Soma hapa.
Non sequitur (logic) - Wikipedia, the free encyclopedia
You are concluding that, because we are here, god must exist. Before showing that we cannot exist by any other way apart from being created by god.
Unachosema hapa ni kwamba, unaweza kufika Moshi kwa kutumia ungo. Uko Moshi, therefore umetumia ungo kufika Moshi.
Hujaprove kwamba ungo upo. Hujaprove kwamba ungo unaweza kukufikisha Moshi. Hujaprove kwamba huwezi kufika Moshi kwa njia nyingine yoyote isipokuwa ungo.
Unarukia tu ungo upo kwa sababu wewe upo Moshi.
We tatizo unadhani ushamaliza hoja zote kuhusu uwepo wa Mungu. Mimi nakuuliza swali jingine wewe unajiundia maswali halafu unajijibu. Nimekuuliza tupo hapa au hatupo na kama tupo tumefikaje? More fundamentally nimekuuliza universe imetokea tu yenyewe hujajibu unakimbilia kusema nimesema kuna link, wapi mimi nimeandika kuna link?!! Mbona una haraka sana??!!
Swali langu ni rahisi tu, tupo hapa au hatupo na kama tupo tumefika vipi hapa tulipo? Hebu jibu hapo ndio tuendelee sihitaji uniwekee link za wikipedia!
Sasa wewe majibu huna halafu una ujasiri wa kusema dhana yangu ni potofu?! Nikikwambia thibitisha ni kwa vipi dhana yangu ni potofu huwezi.Ningedhani nishamaliza hoja zote nisingesema sina majibu ya baadhi ya maswali. Kusema kwangu sina majibu ya baadhi ya maswali kunakanusha dhana yako potofu.
Sawa hata kama haimaanishi jibu ni Mungu lakini pia haimaanishi jibu si Mungu kwa kuwa hata wewe umekiri hujui tumefikaje hapa. We ushasema hujui halafu unataka tena kusema si Mungu kwa uhakika?! Huu uhakika unautoa wapi na hujui?Nomesema tupo hapa, na sijui tumefikaje na wala ulimwengu umefikaje hapa.
Kutokujua tumefikaje hapa, wala ulimwengu umwfikaje hapa, hakumaanishi kwamba jibu ni mungu.
Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?
Sasa wewe majibu huna halafu una ujasiri wa kusema dhana yangu ni potofu?! Nikikwambia thibitisha ni kwa vipi dhana yangu ni potofu huwezi.
Sawa hata kama haimaanishi jibu ni Mungu lakini pia haimaanishi jibu si Mungu kwa kuwa hata wewe umekiri hujui tumefikaje hapa. We ushasema hujui halafu unataka tena kusema si Mungu kwa uhakika?! Huu uhakika unautoa wapi na hujui?
Hivi unaelewa maana ya kutojua? Kama unashindwa kujibu tumefika vipi hapa uliza halafu tulia udadavuliwe. Sio kujifanya ujuaji mwingi na ubishi wakati hujui.
Ningedhani nishamaliza hoja zote nisingesema sina majibu ya baadhi ya maswali. Kusema kwangu sina majibu ya baadhi ya maswali kunakanusha dhana yako potofu.
Nomesema tupo hapa, na sijui tumefikaje na wala ulimwengu umefikaje hapa.
Kutokujua tumefikaje hapa, wala ulimwengu umwfikaje hapa, hakumaanishi kwamba jibu ni mungu.
Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?
Mungu yupo..he's the source of the Universe,he's the beginning and the end..that's is to say..God is nature ILA-nature yenye nguvu,uwezo na mamlaka....!!without him nothing could be made....forinstance,Scientist believes that there's no God and even human beings developed from apes,fine(if you believe so) but Can you tell me what is the source of those apes?
Why is god a "him"?
Why Some countries are refered as Her?
Answer my question then you will simplify my explanation towards God's existenceThat does not answer the question.It is neither here nor there.
Can you prove that god exists?