chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,567
njoo nikuoneshe
Wangu...mada kama izi hazikupiti....haaahaaa
njoo nikuoneshe
Hakuna kitu kama hicho. G spot haipo na haijawahi kuwepo kwenye mwili wa mwanamke.
Kisayansi hakuna ushahidi wa uwepo wa gspot.
Awali iliaminika(haikuthibitishwa) kwamba kila mwanamke anayo, baadae ushahidi wa kisayansi ukakosekana kuthibitisha hilo,ikabadilika na kuaminika kwamba baadhi ya wanawake wanayo na wengine hawana,pia hakuna ushahidi wa kuthibitisha hilo.
Hii kitu ipo au uzushi tu? In struggle to give mupenzi wangu earth shaking orgasm I ve been searching for the elusive G spot bila mafanikio. HIi kitu ipo kweli?
Wangu...mada kama izi hazikupiti....haaahaaa
Wangu...mada kama izi hazikupiti....haaahaaa
alafu wewe mbona siku hizi umeadimika kama mbegu za ndizi
Endelea kuamini unavyoamini....wewe waandika wenzio twaishika kila iitwapo leo!!!
Hii kitu ipo au uzushi tu? In struggle to give mupenzi wangu earth shaking orgasm I ve been searching for the elusive G spot bila mafanikio. HIi kitu ipo kweli?
geniousIpo lakini sio kila mwanamke anayo...
Pia si kila nwanamke mwenye nayo hujijua kuwa yupo nayo...
Mwanaume anayejua kuichezea hiyo sehemu huonekana mfalme kwa mwanamke...
Mengineyo sitayaandika...adios!!!
Umeenda fukua uzi wa 2014