Is Einstein time dilation valid?

mazojms

JF-Expert Member
Sep 22, 2017
1,607
2,482
NB: Ninaandika haya kwa lengo la kutaka kujifunza, na nitafurahi kukosolewa maana ndivyo nitakavyo jifunza zaidi. Ila wale mnaokosoa lugha naomba kwenye huu uzi mnikaushie basi.

1.1 OBSERVATIONS

Jioni nilikua nimekaa sehem nikaona mtu kamrushia mwenzake ndoo, ndoo ilimpiga kichwani kwa impact kubwa sana then something odd happened, sauti ya impact nilichelewa kuisikia kuliko impact yenyewe.

_ Then i remembered a simple concept that the speed of sound is 343mps and the speed of light is 2.99e+8mps, Nikafikiria zaidi kwamba kwa kua light speed is not infinity basi my observed time of impact was also not exact. An impact occured earlier before i saw it, just like what happened with sound. Nikagundua kwamba kila event ina time mbili Say (To) and (Tr)

Where
_Observed time (To)
_Real time (Tr)

NB: Hapa nita exclude speed ya ubongo kuprocess information maana pia inaongeza (To) dilation. Nikimaanisha muda wa CONE cells katika jicho kupokea mwanga + muda wa cells kufanya transduction + muda wa kutuma taarifa kwenye ubongo na + muda wa ubongo kufanya interpretation.

_ Nikafikiria tena! kama nikianza kusafiri kwa speed ya mwanga just before the impact, in my perspective that impact will never happen (meaning (To) will never happen). But that will not change the fact that (Tr) had already happened.

_ Nikafikiria futher kwamba an observer aliye 4.6 b light years from our solar system, ataiona solar system yetu ikiwa na mwaka mmoja tu, but that won't change the fact that at that particular moment anaangalia our solar system is 4.6 b years.

1.2 CONCLUSIONS

_ Our observations does not define the reality of time.
_ (To)of an event varies depending on the position and speed of an observer.
_ (Tr) is not affected by an observer.
_ (Tr)of an event is the same everywhere in the universe.

As far as those conclusions are concerned, that phenomenon(event) happened at the same time(Tr) everywhere in the universe, regardless of the time the phenomenon was observed(To).

2. IS SPECIAL RELATIVITY THEORY VALID?

_ If my observations and conclusions somehow make sense then nimepata wasiwasi na uhalali wa Special relativity theory hasa kwenye time dilation. Unless kutakua na maelezo ambayo nayaitaji ili niondoe huu utata.

- Special relativity theory is mainly based on observations, Einstein anapoelezea kuhusu time dilation anaelezea kuhusu (To) dilation na sio (Tr) dilation. As i mentioned earlier (Tr) of an event is the same everywhere in the universe.

4. THE CONCEPT OF TIME & POSIBILITY OF TIME TRAVEL
- Time is the series of events that define our existance. Hatuwezi kuuona muda lakini tunacho experience ni kupita kwa muda, kwamba kila muda jana inakua leo na leo inakua kesho, na tunahisi hivyo sababu leo inatofautiana na jana.

- Think of a movie with 24 fps, where each frame is a still picture that explains what happened at a paticular time in a movie. Nitatumia hii idea ya muda katika movie na frames kuelezea muda katika universe.

- In the universe a frame is like a still picture of the universe at a particular moment, na kila frame inajumuisha events zote zilizotokea ulimwenguni at a particular moment. Yani at the moment umesoma moment a number of events have also occured in the universe.

- To experience the flow of time in the universe, frames have to influence one another just like in the movie. And since we are all part of the universe hakuna namna tutaweza kuskip frames either kuelekea future wala kurudi past.

Na kama ikitokea ukarudi nyuma ya muda miaka 10 the universe will also go back the same 10 years with you(Remember! you are part of the universe) na utaishi maisha uliyoyaishi tayari bila kubadili kitu (the whole universe will have a 10yrs deja vu).

- Endapo (Tr) dilation itatokea kwa namna yeyote inamaanisha the whole universe will delay, as we are all part of the universe, so whatever time does to you will also be done to the universe. Hence the twin paradox is imposible.

5. LIST OF ABBRIVIATIONS

mps = Meter per second
fps = Frames per second
b = Billion
e+8 = ×100000000
Tr = Real time
To = Observed time
 
Kumbe Physics ndivyo ilivyo...kuna kauzuri fulani hivi.

I'm a "from CS50 import .... guy". Na subscribe hapa nijifunze.

nb: Usisome ili ukomenti.
 
.
images-15.jpg
images-2.jpg
images-27.jpg
 
An impact occured earlier before i saw it

No. Since the speed of light is bigger than that of sound, you would say a sound occured earlier before you heard it, than saying that an impact occured earlier before you saw it. It was okay for you to see the impact before haering the sound because of the realtivity that exists between the speed of sound and that of light .
However, it is also okay for you to conclude that the impact occurred earlier before you saw it, ONLY if you consider the FRAMES OF REFERENCE; i.e., your position relative to that which the event took place
Nitarudi siku nyingine, leo nina haraka kidogo
I like your thread!
 
2. IS SPECIAL RELATIVITY THEORY VALID?

_ If my observations and conclusions somehow make sense then nimepata wasiwasi na uhalali wa Special relativity theory hasa kwenye time dilation. Unless kutakua na maelezo ambayo nayaitaji ili niondoe huu utata.
Jaribu kui-couple theory pamoja na Lorentz's Transformation kuona validity yake, pamoja na utamu wake ulivyo. Hizi theory zimeshakuwa validated tsiku nyingi baada ya watu kuwa wameweka mashaka yote na hatimaye kugundua kuwa wao ndiyo hawako sahihi, bali theory ndiyo iko sahihi. Zaidi watu walishachukua Nobel Prize siku nyingi tangu mwaka 1905, na hakuna aliyejitokeza mpaka leo ku-invalidate theory zao. Ukiona kuna sehemu hapako valid, check the premisess of your argument/ assertions
 
NB: Ninaandika haya kwa lengo la kutaka kujifunza, na nitafurahi kukosolewa maana ndivyo nitakavyo jifunza zaidi. Ila wale mnaokosoa lugha naomba kwenye huu uzi mnikaushie basi.

1.1 OBSERVATIONS

Jioni nilikua nimekaa sehem nikaona mtu kamrushia mwenzake ndoo, ndoo ilimpiga kichwani kwa impact kubwa sana then something odd happened, sauti ya impact nilichelewa kuisikia kuliko impact yenyewe.

_ Then i remembered a simple concept that the speed of sound is 343mps and the speed of light is 2.99e+8mps, Nikafikiria zaidi kwamba kwa kua light speed is not infinity basi my observed time of impact was also not exact. An impact occured earlier before i saw it, just like what happened with sound. Nikagundua kwamba kila event ina time mbili Say (To) and (Tr)

Where
_Observed time (To)
_Real time (Tr)

NB: Hapa nita exclude speed ya ubongo kuprocess information maana pia inaongeza (To) dilation. Nikimaanisha muda wa CONE cells katika jicho kupokea mwanga + muda wa cells kufanya transduction + muda wa kutuma taarifa kwenye ubongo na + muda wa ubongo kufanya interpretation.

_ Nikafikiria tena! kama nikianza kusafiri kwa speed ya mwanga just before the impact, in my perspective that impact will never happen (meaning (To) will never happen). But that will not change the fact that (Tr) had already happened.

_ Nikafikiria futher kwamba an observer aliye 4.6 b light years from our solar system, ataiona solar system yetu ikiwa na mwaka mmoja tu, but that won't change the fact that at that particular moment anaangalia our solar system is 4.6 b years.

1.2 CONCLUSIONS

_ Our observations does not define the reality of time.
_ (To)of an event varies depending on the position and speed of an observer.
_ (Tr) is not affected by an observer.
_ (Tr)of an event is the same everywhere in the universe.

As far as those conclusions are concerned, that phenomenon(event) happened at the same time(Tr) everywhere in the universe, regardless of the time the phenomenon was observed(To).

2. IS SPECIAL RELATIVITY THEORY VALID?

_ If my observations and conclusions somehow make sense then nimepata wasiwasi na uhalali wa Special relativity theory hasa kwenye time dilation. Unless kutakua na maelezo ambayo nayaitaji ili niondoe huu utata.

- Special relativity theory is mainly based on observations, Einstein anapoelezea kuhusu time dilation anaelezea kuhusu (To) dilation na sio (Tr) dilation. As i mentioned earlier (Tr) of an event is the same everywhere in the universe.

4. THE CONCEPT OF TIME & POSIBILITY OF TIME TRAVEL
- Time is the series of events that define our existance. Hatuwezi kuuona muda lakini tunacho experience ni kupita kwa muda, kwamba kila muda jana inakua leo na leo inakua kesho, na tunahisi hivyo sababu leo inatofautiana na jana.

- Think of a movie with 24 fps, where each frame is a still picture that explains what happened at a paticular time in a movie. Nitatumia hii idea ya muda katika movie na frames kuelezea muda katika universe.

- In the universe a frame is like a still picture of the universe at a particular moment, na kila frame inajumuisha events zote zilizotokea ulimwenguni at a particular moment. Yani at the moment umesoma moment a number of events have also occured in the universe.

- To experience the flow of time in the universe, frames have to influence one another just like in the movie. And since we are all part of the universe hakuna namna tutaweza kuskip frames either kuelekea future wala kurudi past.

Na kama ikitokea ukarudi nyuma ya muda miaka 10 the universe will also go back the same 10 years with you(Remember! you are part of the universe) na utaishi maisha uliyoyaishi tayari bila kubadili kitu (the whole universe will have a 10yrs deja vu).

- Endapo (Tr) dilation itatokea kwa namna yeyote inamaanisha the whole universe will delay, as we are all part of the universe, so whatever time does to you will also be done to the universe. Hence the twin paradox is imposible.

5. LIST OF ABBRIVIATIONS

mps = Meter per second
fps = Frames per second
b = Billion
e+8 = ×100000000
Tr = Real time
To = Observed time
Binafasi utata hapo kwenye tim travel kwamba ukirudi nyuma ww, na ukawa uko aware kama kwel umerudi nyuma kule ulipo toka pia watu watakuwa wnaendelea na maisha sidhan kama umiverse itadelay, sema ww ulie rudi nyuma utakuwa kwenye visual na simulation yako itakuwa fake. Lakin huku uliko toka watu watajua umepotea na wataendela na maisha.
Time is not linear sawa lakin ikiwa inarudi haiwez rudia at the same pass but can be a same direction sasa universe haiwez kuhold simulation mbili at the same time ndo maana black hole hairuhusu vitu kupita na kutokea kwngine
 
The event horizon of a black hole is the point of no return. Anything that passes this point will be swallowed by the black hole and forever vanish from our known universe.

PROTECTOR.
 
No. Since the speed of light is bigger than that of sound, you would say a sound occured earlier before you heard it, than saying that an impact occured earlier before you saw it. It was okay for you to see the impact before haering the sound because of the realtivity that exists between the speed of sound and that of light .
However, it is also okay for you to conclude that the impact occurred earlier before you saw it, ONLY if you consider the FRAMES OF REFERENCE; i.e., your position relative to that which the event took place
Nitarudi siku nyingine, leo nina haraka kidogo
I like your thread!
Hapa anazungumzia dilation of TIME (kuchelewa kwa muda wa KULITAZAMA tukio lenyewe). Hazungumzii sauti. Anasema japo spidi ya mwanga ni almost instantaneous, lakini bado kuna hali fulani ya kuchelewa tu (plus some factors za processing zilizotajwa hapo).
 
Kabla sijajibu sana kwanza nikuulize ushawahi kua online kwenye kikao na mtandao ukawa upo na kasi ya juu kila kitu hua kinakuwa kwa wakati sawa na hakuna mda wa kuchelewa

Ukiendesha drone camera yenye kutumia Internet pia kwa umbali mfupi hua inachukua really time
Hivyo kwa miunganiko ukiyoitaja hapo

exclude speed ya ubongo kuprocess information maana pia inaongeza (To) dilation. Nikimaanisha muda wa CONE cells katika jicho kupokea mwanga + muda wa cells kufanya transduction + muda wa kutuma taarifa kwenye ubongo na + muda wa ubongo kufanya interpretation.

Ni kitu kinachofanyiwa mchakato wa haraka sana bila kukawia inaweza chukua 0.002ms ama kucheza tu namba bila kuhesabu kulingana na umbali wa kitu husika
 
kukawia inaweza chukua 0.002ms
Hizi milliseconds ndiko kuchelewa kwenyewe kunakozungumziwa. An event can be either instantaneous ama delayed. Tukio lisipokuwa instantaneous lazima limepoteza muda fulani hadi kuonekana. Mwanga wa jua unatumia dakika 8 hivi kufika duniani.

So, maana yake ni kwamba mpaka jua linaonekana angani asubuhi, tayari linakuwa limechomoza dakika 8 zilizopita.

Kadhalika na jioni. Wakati tukidhani bado dakika 8 jua lizame, in reality, linakuwa limeshazama dakika 8 zilizopita.
 
Pima umbali na upime umbali wa futi moja mwanga utachukua mda gani kufika...... ni mda ambao huwez kuuhesabu
 
My friend, katika Fizikia, kila kitu kinahesabika hata kiwe ^kidogoje.^ Ndiyo maana hatukuwahi kuridhika na nadharia ya John Dalton kwamba ^Atomu ndiyo chembe ya maada ambayo ni ya mwisho kabisa kwa udogo; kwamba haiwezi kugawanyika wala kuvunjwa ama kuharibiwa zaidi ya hapo.^

Wakati fulani inaweza kuhesabiwa kuwa ^negligible^ kwa sababu ya umaana (relevance) wenyewe unaohitajika. Lakini tunaposhughulika na atoms ama electrons, hivyo vitu ambavyo kawa kawaida vinaweza kuonekana kuwa vidogo huwa na maana na umuhimu mkubwa sana.

NB: Ask yourself, at what particular moment is an event considered happening in real time? Baada ya sekunde moja? Baada ya millisecond? Au baada ya a billionth of a millisecond? The point is, if light TAKES SOME TIME TO TRAVERSE a given distance, then, lazima any event iwe considered somehow not happening in real time--with respect to the observer.
 
Hapa anazungumzia dilation of TIME (kuchelewa kwa muda wa KULITAZAMA tukio lenyewe). Hazungumzii sauti. Anasema japo spidi ya mwanga ni almost instantaneous, lakini bado kuna hali fulani ya kuchelewa tu (plus some factors za processing zilizotajwa hapo).
Amechanganya vyote viwili kwa sababu anaongelea event ambayo ni twofold, inahusisha sauti na mwanga pia au kuona na kusikia. Asssuming angekuwa ni kiziwi, je angeweza kusema kama alivyosema? Amesema hivyo kwa sababu tu alikuwa na uwezo wa kusikia pia
 
Duh! Kwa staili hii ni vigumu kukuelewesha. Fuatili posti hapo juu. Sauti na mwanga vimezungumziwa. Then ikafuatiwa specific explation kuhusu mwanga.

Mantiki yake ni kwamba japo mwanga unaonekana kuonesha tukio kana kwamba in real time (the moment it really happened) kwa sababu ya kasi yake, lakini ukweli ni kwamba bado kuna small dilation in time. Na kama umbali ni mrefu sana, take, for instance, light years away, dilation becomes significant.
 
Time dilation huwa always inaendana na vitu ambavyo viko kwenye relative speed with respect to each other. Impact inayoongelewa hapa inaweza kuwa ni mtu alikuwa mita 20 kutoka pale alipokuwa yeye, halafu mtu huyo alikuwa na nyundo iliyokuwa ikigonga kwenye jiwe. Kwa event ya namna hii, huyu mtu hatakiwi kuongelea swala la time dilation kwa sababu yeye pamoja na mpiga nyundo hawana tofauti yoyote ya kasi kati yao na hivyo the issue of time diltaion here is invalid!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom