Niko Tanga milimani kabisa.. Kwenye ngome za ccm tangu uhuru. Mambo yamebadilika mno. Lugha ya huku vijijini ni CHADEMA. Si watoto si vikongwe. Achana na wajasiriamali, wafanyakazi wafanyabiashra na walimu.
Wanasema CHADEMA liyotabiriwa kufa tangu 2011 na kufanyiwa kila aina ya ubaya bado iko LIVE.
Kuna baadhi wameenda mbali zaidi kwa kuilinganisha CHADEMA na SIMBA kwenye mechi ya jana. Kwamba sasa CCM ni DHOOFU muhali Kama yanga jana.
Na kwamba kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki ccm ijiandae kukabidhi nchi kwa CHADEMA
View attachment 1505497
Hizo zingine ni porojo tu mnaleta hapa. [emoji848][emoji848][emoji848]POROJO.. [emoji144][emoji144][emoji144]CDM is not a strong institution, so is CCM. Watu wapo mezani ili wale washibe, hizo nyingine ni porojo tu ili ugali uwekwe mezani kirahisi. Hakuna chama ambacho kiukweli kimeweza kutengeneza mfumo imara kiutawala, hakuna. Ni ubabe, vitisho, kuteuana na kuwekana sehemu wanazopata ugali mtamu, sio CCM wala CDM, wote wanawekana kwa kujuana, kwa itikadi wanazojua wao n.k. Hizo zingine ni porojo tu mnaleta hapa.
Unless upo kwenye system na unapata benefits kichama/kiserikali, otherwise kwetu sisi neutrals ni porojo tupu.Hizo zingine ni porojo tu mnaleta hapa. [emoji848][emoji848][emoji848]POROJO.. [emoji144][emoji144][emoji144]
Sleeping giant that will never wake up...Niko Tanga milimani kabisa.. Kwenye ngome za ccm tangu uhuru. Mambo yamebadilika mno. Lugha ya huku vijijini ni CHADEMA. Si watoto si vikongwe. Achana na wajasiriamali, wafanyakazi wafanyabiashra na walimu.
Wanasema CHADEMA liyotabiriwa kufa tangu 2011 na kufanyiwa kila aina ya ubaya bado iko LIVE.
Kuna baadhi wameenda mbali zaidi kwa kuilinganisha CHADEMA na SIMBA kwenye mechi ya jana. Kwamba sasa CCM ni DHOOFU muhali Kama yanga jana.
Na kwamba kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki ccm ijiandae kukabidhi nchi kwa CHADEMA
View attachment 1505497
Chadema wakakue kwanza.. siasa zao bado zakujikombakomba na ni no strong plan!.. hivyo lazima wakalishwe tu!
Bado wana mambo ya kiwaki sana!..
Mikono yao still ni michanga kupewa nchi!.. najua mtapinga lkn huo ndo ukweli.. muacheni huyo giant akue zaidi na hichi ni kipindi chake cha makuzi.. chama kinachotegemea mgombea wa urais kutoka chama chengine ni sawa na kusema wao hakuna viongozi wanaoweza kupambania nafasi hiyo au ama chama chao si kiwanda cha viongozi!!..
Ama tuseme chama chao still kinahujumika na vyama vyengine..! This is not a good signal!..
Ccm itatoka ila sio kiwepesi kihivyo ndugu!.. upinzani ukija kupata chance ya kukalia kiti na wajitafakari sana,wakue kumkichwa.. naamini kabisa ccm itakuja kutoka tu madarakani and this is not the issue,swala ni je atakaekuja kutake hiyo position je anaweza kweli kushika nchi au ndo tutakuja kujuta tu..??
We don't mind the giant of anybody.. let's mind the ability of a giant!!.
Binafsi upinzani naona still wapo wapo na wanarandishwa na ccm kisiasa Sana tu!.
Kwa kiswahili ni Maiti zinazotembea!!Ccm is dead body
Kujipa moyo si vibayaExtremely dead