Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,502
- 867,369
Niko Tanga milimani kabisa.. Kwenye ngome za ccm tangu uhuru. Mambo yamebadilika mno. Lugha ya huku vijijini ni CHADEMA. Si watoto si vikongwe. Achana na wajasiriamali, wafanyakazi wafanyabiashra na walimu.
Wanasema CHADEMA liyotabiriwa kufa tangu 2011 na kufanyiwa kila aina ya ubaya bado iko LIVE.
Kuna baadhi wameenda mbali zaidi kwa kuilinganisha CHADEMA na SIMBA kwenye mechi ya jana. Kwamba sasa CCM ni DHOOFU muhali Kama yanga jana.
Na kwamba kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki ccm ijiandae kukabidhi nchi kwa CHADEMA