Nani aweke dau hapa? Mshindi raila piga ua,naweka millioni mdau aweke jiwe tu
Hakuna uhusiano kati ya uhuru na kanu maana hata moi hamuungi mkono. Sidhani kama ccm officially wanamuunga mkono uhuru na chadema odinga
uhuru kenyata kijana wa mzee jomo kenyata,zao la kanu chama pacha wa ccm kuna kila dalili kuwa ccm wako nyuma ya uhuru na kwa tafisiri rahisi cdm wako nyuma ya raila odinga.
Nani atashinda? Je matokeo yatakuwa na impact kwa siasa za tanzania hasa kwa 2015?!!
Pls quote me, Raila Amollo Odinga will be Kenya's next President.
Nafikiri kutamani na uhalisia ni vitu viwili tofauti.Kama ndicho unachotamani matokeo yatakutia simamzi!!
Nafikiri kutamani na uhalisia ni vitu viwili tofauti.
Moi yupo nyuma ya Musalia mudavadi,Kibaki anamuunga mkono Uhuru.Raila ameni-dissapoint sana jana kwa mara nyingine kwenye mdahalo.uchaguzi huu utakua na raundi ya pili.Raila atashinda Raund ya pili ila awe makini sana ahakikishe anavuta alliance ya Musalia Mudavadi kambi yake.Anaweza ku-ignore ya Peter Kenneth.Tatizo ni kwamba Mudavadi sasa ataweza kuwasaliti akina Moi maana mostlikely Moi atamuona Kenyatta kama plan B kuliko Raila Aingie Ikulu.
Naamini Raila atashinda kwa kuwa ni bingwa wa Alliance lakini inabidi awe makini zaidi wiki hii maana vitengo vya propaganda vya vyama vyote vitakua busy kuliko wakati wowote
kuna watu wawili nawaaminia kwa kuchapia kiingereza: Mzee wa IPP na Vasco Dagama. Huyu ni wa tatu!CCM is behind of Uhuru Kenyata but Makufuli is behind of Raila. Makuguli is correct.
Wanakosea wanampomshambulia Uhuru maana wanampa nafasi ya kujieleza..P.Keneth kura zake ndogo cha msingi Raila amkamate Musalia.. ila wajina ww uko upande gani? mm natamani kuona new generation ya akina uhuru na ruto madarakani ingawa si muumini wa sera zao kabisa