mkuu kuna tafiti zimefanyika ni vyema kuzisoma tu ili kuongeza maarifa, nina utafiti huo lakini napata shida kuuweka hapa nitakuwa naweka vipande...maneno mbofumbofu, huo mwisho wala hamtajua ukifika'wasubiri tuu, hao nao wamekosa kazi za kufanya
Hata wasomi wenye akili sana ufika kipindi wakadanganyika na hizi myth, ngano za watu wa kale.
Mkuu kwa kasi uliyokuwa nayo darasani kama hawa kukuchaguwa kuwa monita wa darasa, basi watakuwa wamefanya ufisadi mkubwa walimu wako. lol!...never mind bro, was only pulling your leg.
...hapo kwenye picha ndiyo mimi, nilipigwa picha na mwalimu wangu ambaye baada ya kufundisha alikuwa ana double kama mpiga picha wa kijiji chetu cha ujamaa na kujitegemea, jina kama sijasahau alikuwa anaitwa Mkude. Alinipiga darasani picha hiyo baada ya kupasi kwa maksi za juu sana kwenye mtihani wa sayansi kimu nilipokuwa darasa la tano!!!
Tafadhali soma na fikiri, kuna movie inatoka this year November na yenyewe inazungumzia huu utabiri...
Kweli maneno yako, maana fund zipo wazi wazi ni jinsi tu ya kuweza kujuwa utazitumia vipi. Maana mashirika ya kutoa haya mapesa yameshikiliwa na mijitu yenye kuogopa kufa kama nini sijui, sasa wakija wataalam na kuwaambia kuwa 2012 kuna uwezekano wa dunia kukosa michanga maana michanga yote itahama kutoka duniani na kuelekea sayari ya Pluto. Watatoa mabilioni ya dola kufanyia research na kutafuta uwezekano wa kuzuiya hiyo michanga isihame.Ni kweli, Maana wanafanya study na kupredict vitu ili wajustify use of fund. Mfano mwingine huu https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/17169-is-april-13-2036-end-of-world.html
Wewe unasemaje? unaamini lipi? vyombo vya habari au Bible?Leo nimesikia kwenye vyombo vya kuwa tarehe 21 Oktoba 2011 eti ni mwisho wa dunia. Lakini Biblia inasema hakuna aijuaye siku hiyo ila Mungu peke yake.
Pata maelezo kwenye link hii.