Is April 13, 2036 End of World?

GM7;

Tafuta Movie moja inaitwa SPACE ODYSSEY. It is a fiction based on the available Scientific Data.

You will be amazed what what a space is and how our earth counts as drop in an ocean.

Keep your faith on your Personal God.
 
Attachments

  • Rapture day.jpg
    Rapture day.jpg
    36.2 KB · Views: 48
Siku za mwisho kutatokea manabii wa uongo nao watahubiri kwa kutumia jina langu (yesu) Jihadharini na watu wa hawa
 
Siku za mwisho kutatokea manabii wa uongo nao watahubiri kwa kutumia jina langu (yesu) Jihadharini na watu wa hawa

Na kati ya hao manabii kuna manabii wa kweli pia, kwa hiyo unatakiwa uwe na roho wa Mungu ili kutofautisha wa Mungu na Shetani. hapo sasa ndo unatakiwa uwe unamjua Mungu na neno lake kiasi cha kutosha
 
Kinachoshtua ni kwamba hawa wamekwenda mbali zaidi kwa kuweka mabango (sehemu mbalimbali including hapa Dar!) na kutaja tarehe specific.

Wakati nasoma hiyo link hapo juu, kuna kitu kimenishangaza sana. Wanasema Yesu(Christ) alizaliwa 7 BC (I thought BC stands for Before Christ!).
 
Last edited:

ni uongo hakuna nayejua mwisho wa dunia, kama ni wasomaji wazuri wa biblia watakuwa wameamua kuwadanganya watu wasijewakafanya mambo ya Kibwetere
 
Naona kuna kundi fulani la wajinga na wavivu walioplan mpango huu wa kuendeleza libeneke lao la uvivu na kutokufanya mambo ya maendeleo,kama wewe ni hustler hustle to the infinity kwasababu "The anticipation of death can be worse than death itself" and "He who fears death is in denial,for death is promised"
Dont let them fool you cause we know the best way to fool them!!
 
Kweli NENO uua na uuhisha.Kama alivyo changia dada Joyceline, tunamuhitaji Roho wa Mungu ili kuyaelewa maandiko na si kutumia akili za kawaida.
Yesu akajibu akawaambia,Angalieni mtu asiwadanganye.Mat 24:4
 
Back
Top Bottom