It depends with the version/edition unayotumia mpaka sasa hivi. Most PCs are now digital unlike the past 20 years. consult various websites to know it better na kwa kukusaidia visi. Wikipedia, the free encyclopedia // Answers.com: Wiki Q&A combined with free online dictionary, thesaurus, and encyclopedias na kama itashindikana basi tafuta experties wa hapa hapa jamiiforums.
hapana computer sio 100% digital, someparty ni analog chukua mfano wa tv
Jamani wana Jf ,je ni kweli computer ni hundred percent digital au asilima nyingine ni analog?
inategemea unamaanisha nini unavyosema computer. generally computer inasehemu nne
1. CPU (processing unit) : mara nyingi hii ni digital 100%
2. MEMORY: Hii RAM,ROM na Flash huwa 100% digital wakati harddisks, external disks, flopy disks na storage nyingine huwa analog
3. INPUT DEVICES: hizi mara nyingi huwa 50% digital kwa sababu kazi yake ni kubadili analog signal kuwa digital signal
4. OUTPUT DEVICES: hizi pia huwa 50% digital kwa sababu kazi yake ni kubadili digital signal kuwa analog.
zote kwa pamoja ndio zinatengeneza computer
CPU na MEMORY ndio zinatengeneza lile box kubwa ambalo watu wengi ndio wanaliita computer.
INPUT DEVICES mfano wake ni keyboard na microphone
OUTPUT DEVICES mfano wake ni monitor na printer na speakers

Nadhani kuna watu wanachanganya analog na mechanical, floppy na harddrive ni mechanical lakini pia ni digital same for dvd drive.
exactly thisthis is what we say we have a home of great thinkers. Thanx kwa hizo data nadhani nitazitumia kikamilifu ndugu..
how about signals coming out from the CPU i mean the motherboard to the monitor(displaying screen) are they digital or analog, from there you will get the really picture abt this
Jamaa kauliza swali zuri sana kuhusiana na signals zinatoka kwenye CPU znaenda kwenye Monitor na zenyewe ni Analog ama ni Digital??