ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Habari wadau,
Naomba ushauri.
Je naweza kutumia Tank moja (mfano la lita 5000) lililo juu ya mnara kusambaza maji eneo lenye ukubwa wa ekari hadi 8?
Tank liko kwenye mnara wa futi 12.
Kama inawezekana je nitumie ujuzi gani ili maji yafike umbali wa hadi 350m kwa rate inayoridhisha?
Kuna fundi nimeongea naye kanishauri nikajenge mnara mwingine na ninunue tank ingine ili maji niwe nayasafirisha kwa pump kwenda tank ingine
Asante