Irrigation systems: kampuni gani wanauza hapa Tanzania?

Irrigation systems: kampuni gani wanauza hapa Tanzania?

Paddy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2010
Posts
484
Reaction score
367
Naomba mwenye kuyajua makampuni yanayouza mirija ya umwagiliaji (drip irrigation systems) anisaidie majina na namba zao za simu. Sitaki wakala, nataka kuyajua makampuni yanayoagiza kutoka nje na kuziuza. Wengi wanazitoa Arusha, je huko Arusha ni kampuni gani hiyo maarufu unayoziuza zenye ubora mzuri?
 
Balton Tanzania Limited - Arusha.

Search online.

Mm kama mtaalamu wa irrigation systems nakushauri nunua Balton maana wanazitoa Israel na nyingi ni za Netafim, zinakubalika duniani kote.

Achana na makanjanja.
 
Nashukuru sana mkuu, nitafanyia kazi maelekezo yako. Mungu akuzidishie
 
Back
Top Bottom