Irresponsible mwananchi:Ponda ni controvercial sana kumpa hii coverage.

Irresponsible mwananchi:Ponda ni controvercial sana kumpa hii coverage.

Kwa mfano we ulikua unataka waandikaje?,bwana mdogo siku moja moja ue unajitahid kushirikisha ubongo katika kufikiri na cyo kushirikisha ma****li
 
Biashara baba hata wewe ukiwa maarufu lazima uuze gazeti istoshe watz vilaza wanafuata upepo tu, leo polis kaonekana boya kuliko ponda hivi ni nani anahatalisha amani kati ya ponda na polisi?

Duh ni km unauliza vile kati ya haramia wa baharini na muua tembo wanapokutana ktk drama, nani ni mfanya kazi halali.

To be fair Polisi hadi wanafika eneo la tukio walionekana kuwa kazini na onda alikuw aktk sehemu isiyo sahihi na kufanya kitu kisicho sahihi,ila kuanzia risasi kupigwa, kuenda hospital ya moromoro ,vurugu za wafuasi wake na wafanyakazi ,hadi ponda kufika ktk jukwaa lingine hospital ya dar..polisi wakaanza kuwa vituko na weledi mdogo.

Ponda anaonyesha ana nguvu sana, tena sana..tusbubiri salamu za wanasiasa....halafu tusubiri kusikia unafiki wa waislam wa bongo..waliopo nyuma yake hawaitaki BAKWATA, ila hawana suluhisho zuri la hatma ya waislam na amani ya nchi yetu.Na hili hadi wanasiasa wenye dhaiffu wanachochea haya nje ya siasa.
 
Unaonaje ukianzisha gazeti lako ili uandike kile unachokipenda wewe tu na familia yako?

Kwani nilichoakinda nakipenda?Wewe kweli hukustahili hata kuwa na ID ya JF,unapoteza resources nyingi sana zilizopaswa kutumiwa na watu wenye kuomba wapate intenet na hizi tools ili wabadili maisha ya jamii zao.

Watu hawaandiki wakipendacho tuu, hat wasichokipenda, ila uandishi RESPONSIBLE ni lazima.Si kuendesha responsibly tuu..kuna kuwajibika kila mahali.
 
Naunga Mkono hoja,Ponda ni wa kukaa naye kwa tahadhari kubwa sana,hata waislamu wenyewe wanajua na wanaona wafuasi wake wanavyoteka Misikiti,ila mimi anaponiogopesha ni pale anapomuita mtu yeyote asiyesimama naye kafiri hata waislamu wenzake wasio na msimamo mkali.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

hapo ndio kugumu sana kwa watanzania wa matukio..matukio mengine yatawakuta ktk boat moja na Ponda,mwishowe watakuwa watamuita comrade, halafu mradi wake utakapoanza mlipa..watanzania watabaki wakibishana bila kujua mambo yaliharibika wapi.Km elimu yetu ilipofikia serikali haijui elimu iliharibika wapi, na wanaojiuliza nao hawana tena si traces za huu ujinga ila nao hawana tena elimu na akili ya kutosha kulitambua tatizo lenyewe ni nini.
 
Kwa mfano we ulikua unataka waandikaje?,bwana mdogo siku moja moja ue unajitahid kushirikisha ubongo katika kufikiri na cyo kushirikisha ma****li

Utakuwa wewe ni kanjanja wa hili gazeti..huna uwezo wa kuona tatizo km ndiwe uliyeandika.Pengine subiri wengine waandike ,ujifunze kwanza ndipo post hata salamu tuu hadi umkomae.
 
Fadhila za shk.Ponda Issa Ponda ni nyingi ; Hatujali hata hatustuki yatakayo tokea !! Tulobaki tutafuata nyayo za sheikh Ponda na "taalimati (mafunzo) zenye impact katika jamii bila hofu yeyote" Tunageuza game na kuiweka kiDiplomasia zaidi. inatosha kuonewa inatosha kukandamizwa inatosha kudhulumiwa inatosha kunyimwa HAKI nk. sasa mtoto kakomaa ! mangine yataonekana kwa macho yenu"livu".... Allahum ini MaghLuob Fantasirr (eeMwnyEzzi Mungu nimeshindwa Basi Ushinda ni wako).. Amin
 
Siwezia amini amini km Mwananchi wanaweza kuwa irrespoonsible kiasi hiki.Ponda si mtu w akufanyia mizaha au kumpa coverage kiasi hiki.Pamoja na kwamba yaliyomtokea yana maswali nchi nzima ila kauliza zake za nyuma na harakati zake si sahihi kwa amani ya nchi na uhuru wa wengine ktk taifa letu.

Walichoandika Mwananchi ni kuanza andika views zake na mambo fulani yanayoleta uhalali wa ponda ktk mambo yake na hivyo kumfanya popular na public figure.Sasa hivi mtakuw ana wakati mgumu sana kuchambua yale mavu ya Ponda na haki yake.

Mwananchi wameingia line vibaya,tena bila kuwa responsible kwa nchi yetu.Gazeti lenye ushawishi na coverage kubwa km Mwananchi halafu linakosa weledi kiasi hiki ni hatari kwa nchi.Siamini mhariri kashindwa kusema ilipovunjwa haki imhusuyo Ponda, na Direction aliyoelekea Ponda na Mambo hatari sana anayochezea Ponda.Mwananchi wameamua kutumika, na siku zinavyokwenda hawa fanatics watawa program waandishi, na wahariri uchwara wanaopata umaarufu kuliko uwezo wao.Kwa walioona wenzetu walivyo fanya ktk kushughulikia suala zima la Osama kuanzia kifo hadi kuzikwa kwake wataona wenzetu walivyokuwa wakichagua hata jinsi ya kutoa taarifa za mikanda yake, na jinsi ya kumzika na wapi pa kumzika ili wasijikute wakitumiak kufikisha ujumbe.

Mwananchi hawajui kuwa kufikisha tarifa kipuuzi za kila anachosema ponda, kila kinachompata, basi ipo siku Ponda atatumia magazeti, TV, na radio za wananchi walewale ambao Ponda anataka watoweke.Ili kutangazia wafuasi wake wafanye nini kwa muda gani, na wanfanyie nani, na vipi washinikize kiongozi wao aachiwe.

Siamini kuwa Gazeti km mwananchi limeshindwa kuwa na wataalamu wa nyanja nyingi , hata kuchmbua habari huku wakihakikisha usalama na maslahi ya nchi ynalindwa wamekosa kabisa.Najua kuwa Gazeti lao lingine la sport starehe nalo huwa linaandika habari kwa fikra za waaandishi, tofauti na habari husika ilivyoandikwa ktk internet ila hiili ni more serious.

Kama akina mama walivyopata nafasi ya work from the comfort of their house ktk "WORK FROM HOME MODEL", MWANANCHI WAMEMPA PONDA NAFASI YA KUFANYA AT THE COMFORT OF HIS HOSPITAL BED.......kweli ponda kichwa.Fools can work better tha i...d..i..o.t.s.Wajasiria mali, mashujaa wetu ktk taasisi za kiraia, na wanasiasa makini hawana coverage hata ktk space ndogo ktk inside pages.Terrorist ana fron page ya kutoa maoni yake.tena maoni km ya kizembe km Masuper star wa dunia.

Hivi mijitu mingine inajifanya inajua kumbe wakati mwingine ni vichaa kabisa wewe ukiombwa kutoa ushahidi wa ugaidi wa ponda unaweza kutoa? mbona Rwakatare alivyopewa kesi ya ugaidi hapa mipovu iliwatoka udini utawaua ninyi hata aibu hamna.

Hi nchi ni yetu sote sio wa wagalatia pekee yao, hivi ofisi za serikali kupambwa na miti ya chrismas tree mwezi wa 12 ndio unaona usawa huo? mishahara kuwahi mwezi wa 12 na Idd kuchelewa ndio unaona haki inatendeka ? kama kweli wewe una chembe hata ya ukweli yale makontena yaliyotajwa na Omary mahita wakati wa uongozi wake na mpaka wagalatia mkashika bango yapo wapi hamchoki na uongo na uzushi mpaka mnatia kinyaa.
 
Fadhila za shk.Ponda Issa Ponda ni nyingi ; Hatujali hata hatustuki yatakayo tokea !! Tulobaki tutafuata nyayo za sheikh Ponda na "taalimati (mafunzo) zenye impact katika jamii bila hofu yeyote" Tunageuza game na kuiweka kiDiplomasia zaidi. inatosha kuonewa inatosha kukandamizwa inatosha kudhulumiwa inatosha kunyimwa HAKI nk. sasa mtoto kakomaa ! mangine yataonekana kwa macho yenu"livu".... Allahum ini MaghLuob Fantasirr (eeMwnyEzzi Mungu nimeshindwa Basi Ushinda ni wako).. Amin

Duh..tayai ponda keshapata mashahidi...life is too short...du soo..life ikiwa short..haitoshi? Hembu list kidogo mojawapo ya fadhila.Na mdhulumu halisi wa waislam amabye akiacha dhuluma basi mtatulia.Na km Ponda nachofanya ni kuzuia huyo mdulumu(mdhulumati), na hadi sasa km kweli Ponda wa ktk hiyo mipaka kwa asilimia ngapi?Na hawarudishia kilichodhulumiwa kwa kiasi gani.

Km huna majibu sahihi basi ukajiulize km kweli upo ktk njia sahihi.
 
Hivi mijitu mingine inajifanya inajua kumbe wakati mwingine ni vichaa kabisa wewe ukiombwa kutoa ushahidi wa ugaidi wa ponda unaweza kutoa? mbona Rwakatare alivyopewa kesi ya ugaidi hapa mipovu iliwatoka udini utawaua ninyi hata aibu hamna.

Hi nchi ni yetu sote sio wa wagalatia pekee yao, hivi ofisi za serikali kupambwa na miti ya chrismas tree mwezi wa 12 ndio unaona usawa huo? mishahara kuwahi mwezi wa 12 na Idd kuchelewa ndio unaona haki inatendeka ? kama kweli wewe una chembe hata ya ukweli yale makontena yaliyotajwa na Omary mahita wakati wa uongozi wake na mpaka wagalatia mkashika bango yapo wapi hamchoki na uongo na uzushi mpaka mnatia kinyaa.

Kwani hiyo ni kazi?tafuta tape zake....Lwakatare case yake ni kusingiziwa kwa kiasi cha polisi na Serikali kushindwa thibitisha kuwa hayo makosa hata kama ni yangekuwa ya kweli hayapo ktk kundi la ugaidi.

Wakati Ponda hakupelekwa na hayo makosa na police na walichopeleka hakikuwa na ground nzuri..na hivyo ponda mahakamani hakufika km gaidi ni makosa mengine yasiyo na ground.SO makosa ya polisi yalipeka makosa ya uongo kwa Rwakatare ndio maana ahakama haikuona hilo ktk maelezo na vielelezo vya polisi, wakati kwa Pond makosa ya polisi kufikisha mashitaka halisi(Ugaidi) ndio maana mahakama haikupokea ugaidi ambao Ponda angebaki huko..hii ndio dram ainayoonyesha kuwa kuna watu nyuma ya ponda wengi tuu.

Well, inaelekea wewe ni kanjanja wa hii media.ndio maana povu linakutoka...uchohcezi wa uliopelekea makanisa kuungua,mali kuibiwa na jiji kutulizwa kwa polisi na Majeshi ktk matatizo yaliyompeleka ndani na kupewa hukumu ya iliyomfikisha kupata kifungo cha nje ni dalili kwamba angepelekwa kwa ugaidi angkutwa na hatia pia.Majeshi kutoa na makanisa kuungua ,dara nzima watu wakaacha magari na kupanda mabari.Watu kuabudu chini ya ulinzi wa polisi ni Terror watu na na polisi wenyewe walikuwa terrified enough kuwaita majeshi.
 
We mleta mada ndiyo mtu mbaya kabisa usiyeelewa weledi wa uandishi wa habari. Na nyie ambao ni waumini wa kuwakandamiza watu hata kama wana haki.
Ulitaka asimhoji Ponda na kutoa msimamo wake. Naona umefadhaika sana jinsi Mwananchi ilivyoandika habari ile kwa ukweli na uwazi na wananchi kujua nani muongo kati yake na polisi.

Ritz naungana na wewe kuhoji jamaa alitaka waandike nini??

Kwa hiyo ukishaowaonyesha polisi wana makosa utakuwa umeonyesha pia vipindi vingine ponda alikuwa na makosa tena mabaya?

Baada y ahapo unadhani Raia watakapojumlisha kw aujumla wa harakati za Ponda kaibuka shujaa ktk fikra za watu..ndio itakuwa ukweli uusemao?Au ndio maana mlishaanza sema Ponda atakuwa Rais?Kwelis hetani kafitinika...Ponda kapewa hadi kuzimu za kuwa rais, Zitto naye kapewa, .....sijui mpa tayari kwa yupi?At least in the darkness...
 
Nashangazwa sana kuwa hata, mwananchi hawana waandishi wenye vichwa..ndio maana hata ligazeti kubwa limejaa matangazo na habari za kipuuzi na za uora wa chini full....km lilivyo mwanasport lao linalotafsiri habari km movie za kihindi mitaani ktk vibanda umiza.

Michango yote hii ya matusi isiyo na mahali pa kutete hoja wala kuta meleoz mbadala yenye difa ambayo mwananchi amekuwa akiijikamulia ktk habari nchini ni wazi..hii gazeti limeshakuwa takataka.Kweli mwanahalisi tutamlimlia sana.

Mawio nitalitafuta kam Gold kesho...page chache makini.Si makaratasi mengi sana kuchafua mazingira tuu..na kuchukua space majumbani kwa watu.Unasoma gazeti page 2 unata rudisha kwa muuazaji, siku hizi huw anwapa bure nawaambia mkale hiyo hela gazeti warushieni.wapuuzi kabisa wanawabebesha uchafu wanaouza kwa bei ya juu halafu ukibebe hata gari haijafika gear no huoni tena haja ya kuangalia.
 
Wewe ni boya kama sio Shudu yaani unachokita wewe ndo ukione!Anzisha gazeti lako uache kulalamika kama umekalia misumari.Na uelewe usipende kutukana viongozi wa kidini Gaidi ni baba yako kama sio mama yako.Ukome
 
Duh..tayai ponda keshapata mashahidi...life is too short...du soo..life ikiwa short..haitoshi? Hembu list kidogo mojawapo ya fadhila.Na mdhulumu halisi wa waislam amabye akiacha dhuluma basi mtatulia.Na km Ponda nachofanya ni kuzuia huyo mdulumu(mdhulumati), na hadi sasa km kweli Ponda wa ktk hiyo mipaka kwa asilimia ngapi?Na hawarudishia kilichodhulumiwa kwa kiasi gani.

Km huna majibu sahihi basi ukajiulize km kweli upo ktk njia sahihi.
Ndugu yangu Nico,
uzima wako wewe ni furaha yangu kuona maajabu Duniani, kwa sababu kuna watu kama wewe huziba mwanga wa jua kwa kiganja na kudai eti mbona kiza leo jua halikuchopoza? Hivyo macho yako haya wezi kuona ila unayoyapenda wewe tuu ndiyo sawa na wengine shauri yao wafe na Lwao !! Just be fair tazama SAKATA na ISSUE kwa jicho la UKWELI na JUSTICE for all countrymen. wengi watu kama nyie mnakisomo cha hali ya juu hapo sasa mtaweza na inawezekana, badilsheni njia mnayoitumia ilituepuke maafa na ***** ***** za kila siku zitoweke katika jamii.
Nchi hii inajengwa kwa umoja na usawa siyo kwa kutenga kundi la wabora na kundi la siyo wabora.
IT CAN BE DONE.
kila la heri pamoja bila shaka.
 
Tatizo la waru ni kuchanganya iliyo haki ya Ponda na mambo mengine ambayo Ponda anafanya kuharibu nchi.kilichomkuta Ponda morogoro kuna Makosa ya Polisi makubwa sana ktk kutekeleza sheria..Ila kwa Upande mwingine Ponda anawekeza ktk Project ya hovyo sana .

Na watanzania wegi wamechukizwa na Jinsi Polisi wame handle mambo wala si kwamba wanatetea chochote anachokifanya Ponda.Na hapa utasikia makundi yote yakipiga kelele ila si kwa kumsupport Ponda,bali kwa kuchukia kitendo cha risasi.
 
Wewe ni boya kama sio Shudu yaani unachokita wewe ndo ukione!Anzisha gazeti lako uache kulalamika kama umekalia misumari.Na uelewe usipende kutukana viongozi wa kidini Gaidi ni baba yako kama sio mama yako.Ukome

Ya nini kwani Ponda kaanzisha lake, ili atumie makanjanja wa Mwananchi?Ukimaliza matusi yotebasi ukikumbuka Ponda ujue namjua km Terrorist.
 
Tatizo la waru ni kuchanganya iliyo haki ya Ponda na mambo mengine ambayo Ponda anafanya kuharibu nchi.kilichomkuta Ponda morogoro kuna Makosa ya Polisi makubwa sana ktk kutekeleza sheria..Ila kwa Upande mwingine Ponda anawekeza ktk Project ya hovyo sana .

Na watanzania wegi wamechukizwa na Jinsi Polisi wame handle mambo wala si kwamba wanatetea chochote anachokifanya Ponda.Na hapa utasikia makundi yote yakipiga kelele ila si kwa kumsupport Ponda,bali kwa kuchukia kitendo cha risasi.
Heri mkuu,
Nico ee, hebu tafakari mimi sikulazimishi ila naridhika kuwa LUGHA ya wengi imeaanza kubadilika na UKWELI/HAKIKA inaanza kuchopoza at the end of the tunnel HAKI itatawala (iwe sheria ya dola au mwenye kustahiki au kundi maalum)
Kimantiki mimi sioni kuna uharibifu wa amani HAYO ni mnayaleta nyie kwa dhana zenu zisizo na msingi wwote(baseless).
Shk. Ponda huwa haandai mkusanyiko wa watu at-all ! Yeye shk.PONDA hukaribishwa na WATU na MASS ndiyo humalika aje kwa kipindi cha muda mchache atoe maneno mawili matatu tuu!! MunguWeee kiasi cha kuwajuza wasikilizaji !! hapo nyie matumbo yanawachafuka na kupandisha PRESHA Ovyo. Bila kujua mada aliyozungumza SHk.PONDA yana husu nini?
Ndipo mnaanza kutumia mtandao wenu kuattack innoccent people. "huoni hapo kuna sintofahamu" ambayo huleta utata....huu in every action there is opposite REACTION. Wandugu be fair... haki ni kitu chenye gharama hakiiji burebure.
Lakini mimi ninaamini bado tunayo TIME na uvumilivu bado upo " it can be done "
 
nimeacha kusoma magazeti ya makanjanja mwaka wa tano sasa, sijapata madhara yoyote, zaidi ya kuiepusha aikili yangu kujazwa madudu ya waandishi wasiosimamia maadili ya kazi zao...ponda is a criminal, na mtu hatari sana, lakini naumia kuona akipewa promo za kijinga kabisa, si yeye pekee, bali movements zozote zile zinazohatarisha rutuba ya taifa lenye amani, ikifikia mahali amani imepotea, hakuna atakayefaidi lolote kwa zaidi ya mauaji yasiyokua na mwisho, hatuhitaji kufika huko, maana kwa jinsi ninavyowafahamu watanzania walivyo delicate watataabika sana..
 
Siwezia amini amini km Mwananchi wanaweza kuwa irrespoonsible kiasi hiki.Ponda si mtu w akufanyia mizaha au kumpa coverage kiasi hiki.Pamoja na kwamba yaliyomtokea yana maswali nchi nzima ila kauliza zake za nyuma na harakati zake si sahihi kwa amani ya nchi na uhuru wa wengine ktk taifa letu.

Irresponsible? Hujui maana ya habari-habari hata kama inakuudhi wewe bado ni habari. Mwananchi hawawezi kuandika yale unayoyataka wewe tu hata usiyoyataka yataandikwa tu. Amani ipi ya nchi unaisema kuvunjwa? mani ya nchi uanzia amani ya mtu binafsi. kama wewe unayo wengine (aakina Ponda) hawana ndo bado wanaitafuta, waache waitafute ikibidi saidia waipate ili kuwepo na amani kwa wote. wewe ukilala na kula na kuamka ujue wengine hawajalala, kula wala kuamka -huo ndo ulimwengu. Lkn ujue kuwa mwenzio akinyolewa wewe tia maji (tazama ya Ulimboka, Kibanda na wenye kumwagiwa tindikali na mamilionea wanaouawa kila siku) Hii siyo amani, Ngoja zamu yako nawe
 
Back
Top Bottom