Irresponsible mwananchi:Ponda ni controvercial sana kumpa hii coverage.

Irresponsible mwananchi:Ponda ni controvercial sana kumpa hii coverage.

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,217
Siwezia amini amini km Mwananchi wanaweza kuwa irrespoonsible kiasi hiki.Ponda si mtu w akufanyia mizaha au kumpa coverage kiasi hiki.Pamoja na kwamba yaliyomtokea yana maswali nchi nzima ila kauliza zake za nyuma na harakati zake si sahihi kwa amani ya nchi na uhuru wa wengine ktk taifa letu.

Walichoandika Mwananchi ni kuanza andika views zake na mambo fulani yanayoleta uhalali wa ponda ktk mambo yake na hivyo kumfanya popular na public figure.Sasa hivi mtakuw ana wakati mgumu sana kuchambua yale mavu ya Ponda na haki yake.

Mwananchi wameingia line vibaya,tena bila kuwa responsible kwa nchi yetu.Gazeti lenye ushawishi na coverage kubwa km Mwananchi halafu linakosa weledi kiasi hiki ni hatari kwa nchi.Siamini mhariri kashindwa kusema ilipovunjwa haki imhusuyo Ponda, na Direction aliyoelekea Ponda na Mambo hatari sana anayochezea Ponda.Mwananchi wameamua kutumika, na siku zinavyokwenda hawa fanatics watawa program waandishi, na wahariri uchwara wanaopata umaarufu kuliko uwezo wao.Kwa walioona wenzetu walivyo fanya ktk kushughulikia suala zima la Osama kuanzia kifo hadi kuzikwa kwake wataona wenzetu walivyokuwa wakichagua hata jinsi ya kutoa taarifa za mikanda yake, na jinsi ya kumzika na wapi pa kumzika ili wasijikute wakitumiak kufikisha ujumbe.

Mwananchi hawajui kuwa kufikisha tarifa kipuuzi za kila anachosema ponda, kila kinachompata, basi ipo siku Ponda atatumia magazeti, TV, na radio za wananchi walewale ambao Ponda anataka watoweke.Ili kutangazia wafuasi wake wafanye nini kwa muda gani, na wanfanyie nani, na vipi washinikize kiongozi wao aachiwe.

Siamini kuwa Gazeti km mwananchi limeshindwa kuwa na wataalamu wa nyanja nyingi , hata kuchmbua habari huku wakihakikisha usalama na maslahi ya nchi ynalindwa wamekosa kabisa.Najua kuwa Gazeti lao lingine la sport starehe nalo huwa linaandika habari kwa fikra za waaandishi, tofauti na habari husika ilivyoandikwa ktk internet ila hiili ni more serious.

Kama akina mama walivyopata nafasi ya work from the comfort of their house ktk "WORK FROM HOME MODEL", MWANANCHI WAMEMPA PONDA NAFASI YA KUFANYA AT THE COMFORT OF HIS HOSPITAL BED.......kweli ponda kichwa.Fools can work better tha i...d..i..o.t.s.Wajasiria mali, mashujaa wetu ktk taasisi za kiraia, na wanasiasa makini hawana coverage hata ktk space ndogo ktk inside pages.Terrorist ana fron page ya kutoa maoni yake.tena maoni km ya kizembe km Masuper star wa dunia.
 
Sikuw anajua kuw andilo gazeti muajiri wa Msaky
 
Kumbe Ponda ni habar ya mjin maana humu kila mada inayoanzishw inamuhusu yeye, ss sitak kuamin kama Ponda ni maarufu zaid ya Baba Salma
 
Siwezia amini amini km Mwananchi wanaweza kuwa irrespoonsible kiasi hiki.Ponda si mtu w akufanyia mizaha au kumpa coverage kiasi hiki.Pamoja na kwamba yaliyomtokea yana maswali nchi nzima ila kauliza zake za nyuma na harakati zake si sahihi kwa amani ya nchi na uhuru wa wengine ktk taifa letu.

Walichoandika Mwananchi ni kuanza andika views zake na mambo fulani yanayoleta uhalali wa ponda ktk mambo yake na hivyo kumfanya popular na public figure.Sasa hivi mtakuw ana wakati mgumu sana kuchambua yale mavu ya Ponda na haki yake.

Mwananchi wameingia line vibaya,tena bila kuwa responsible kwa nchi yetu.Gazeti lenye ushawishi na coverage kubwa km Mwananchi halafu linakosa weledi kiasi hiki ni hatari kwa nchi.Siamini mhariri kashindwa kusema ilipovunjwa haki imhusuyo Ponda, na Direction aliyoelekea Ponda na Mambo hatari sana anayochezea Ponda.Mwananchi wameamua kutumika, na siku zinavyokwenda hawa fanatics watawa program waandishi, na wahariri uchwara wanaopata umaarufu kuliko uwezo wao.Kwa walioona wenzetu walivyo fanya ktk kushughulikia suala zima la Osama kuanzia kifo hadi kuzikwa kwake wataona wenzetu walivyokuwa wakichagua hata jinsi ya kutoa taarifa za mikanda yake, na jinsi ya kumzika na wapi pa kumzika ili wasijikute wakitumiak kufikisha ujumbe.

Mwananchi hawajui kuwa kufikisha tarifa kipuuzi za kila anachosema ponda, kila kinachompata, basi ipo siku Ponda atatumia magazeti, TV, na radio za wananchi walewale ambao Ponda anataka watoweke.Ili kutangazia wafuasi wake wafanye nini kwa muda gani, na wanfanyie nani, na vipi washinikize kiongozi wao aachiwe.

Siamini kuwa Gazeti km mwananchi limeshindwa kuwa na wataalamu wa nyanja nyingi , hata kuchmbua habari huku wakihakikisha usalama na maslahi ya nchi ynalindwa wamekosa kabisa.Najua kuwa Gazeti lao lingine la sport starehe nalo huwa linaandika habari kwa fikra za waaandishi, tofauti na habari husika ilivyoandikwa ktk internet ila hiili ni more serious.
Wenzako hawaandiki kama unavyotaka wewe,wao wanafuata weledi,sasa wewe ulitaka waseme uwongo?story ili iwe sawa lazima ibalance,sio tusikilize upande mmoja,hivi angekuwa pandre kapigwa risasi ungesema huo uharo wako?acha udini kijana,Sheikh Ponda naye ni Binaadamu jamani.
 
Habari biashara sio habari jamii.!!
 
Kwa hiyo ulitaka hisia zako wew na chuki zako za kidini ndo gazeti la Mwananchi liandike utakavyo?
 
Kwa hiyo ulitaka hisia zako wew na chuki zako za kidini ndo gazeti la Mwananchi liandike utakavyo?

Naona ummependezwa sana na Mwananchi kuanza jongea ktk majukwaa ya al -nuur...haha..Inawezekana mhariri au mwandishi akawa mwanaharakati km Msaky.Pengine alipiga hadi simu kuwaambia mmeona eh..km Msaky alivyomwambia Zitto umeona habari za Mnyika eh...

Mgazeti ya mishemishe hayana muda mrefu..hata shule zenu za propaganda hata mkiweka majengo ya mabillioni hume ndani hakuna elimu km shule za Arabia.

Sasa km mmngekuwa smart kwanini msifshindane kwa taratibu sahihi za Tasnia husika?Elimu ni harakati, makazini siasa,ktk vyama harakati, ...talibani hadi mpira wanacheza kila mtu mpira wake na hawaruhusiwi gombania mpira, wala kushangiliwa ukimfunga mwenzio.

Hata hapa kwetu vyama vya kisiasa vy mlengo km wako navy huwa havikosoani, waka ktk uchaguzi mke harhusiwi wala kujisikia msinda mumewe.

NI kawaida yenu kuandika vitu km vile kapu la meneno likijaa yanavyoanguka mengine na kujenga sentensi zisizo na muunganiko.NIliandika hii thead long time kasome matusi ya wajinga wenzio wengi.Hata ambao hawakutukana nao pia hawakuilewa.wakasingizia lugha na excuse nyingine za vichwa vya panzi.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kufungulia-kutawaliwa-kwao.html#post7081950
 
Wenzako hawaandiki kama unavyotaka wewe,wao wanafuata weledi,sasa wewe ulitaka waseme uwongo?story ili iwe sawa lazima ibalance,sio tusikilize upande mmoja,hivi angekuwa pandre kapigwa risasi ungesema huo uharo wako?acha udini kijana,Sheikh Ponda naye ni Binaadamu jamani.

Kwani nani kakuambia wangeweza andika ninachotaka?Mimi nisingeon ahta ulazima kuandika fikra za Ponda kwa satili impayo raha kiasi kile wakati ni mtuhumiwa, tena mkosefu kwa hukumu inayomshika ya mahakama.
 
Biashara baba hata wewe ukiwa maarufu lazima uuze gazeti istoshe watz vilaza wanafuata upepo tu, leo polis kaonekana boya kuliko ponda hivi ni nani anahatalisha amani kati ya ponda na polisi?
 
Kumbe Ponda ni habar ya mjin maana humu kila mada inayoanzishw inamuhusu yeye, ss sitak kuamin kama Ponda ni maarufu zaid ya Baba Salma

Haha....ndio raha ya makanjanja wa nchi hii.... si muda Wataanza kuwa Mouth Piece wa Kagame na wengine ambao wana shida na maslahi ya taifa letu.

Sasa km ni kuuza habari si wangeandika tuu hata mbwebwe za mazishi ya Mpare Tanzanite wa Arusha angalau hata waliomuua waumie roho kidogo.
 
Naunga Mkono hoja,Ponda ni wa kukaa naye kwa tahadhari kubwa sana,hata waislamu wenyewe wanajua na wanaona wafuasi wake wanavyoteka Misikiti,ila mimi anaponiogopesha ni pale anapomuita mtu yeyote asiyesimama naye kafiri hata waislamu wenzake wasio na msimamo mkali.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Habari biashara sio habari jamii.!!

Ila habari zipo nyingi tuu ambazo hazitii kichfuchefu km hii ..Hata walionunua walinunua kwa vitu vingine, uku wakiguna sana kwa waliochokiona hapo juu.Wangekuwa na feedback hawa makanjanja, sijui km wangamini..ila kw aujinga wao wa kifikra wangeweza sema ni visa vya Mengi au Mawio ili kwa vile wanauza sana.
 
Mbona auweleki sijui wewe ulitaka waandike vipi.
We mleta mada ndiyo mtu mbaya kabisa usiyeelewa weledi wa uandishi wa habari. Na nyie ambao ni waumini wa kuwakandamiza watu hata kama wana haki.
Ulitaka asimhoji Ponda na kutoa msimamo wake. Naona umefadhaika sana jinsi Mwananchi ilivyoandika habari ile kwa ukweli na uwazi na wananchi kujua nani muongo kati yake na polisi.

Ritz naungana na wewe kuhoji jamaa alitaka waandike nini??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom