Irizi ya mama mwenye nyumba

Irizi ya mama mwenye nyumba

Ya Leo Kali nimekuta irizi kwenye dirisha la nyumba nliyopanga,yaani mpaka nimeishiwa Nguvu kabisa,nishaurini nimprovoke huyu mama au ninyamaze na kuichoma tu

Sent from my iPhone using JamiiForums

umejuaje ye ndo kaweka hchokipochi?
 
Wewe unaishi kwenye nyumba yangu au mi mwenyewe,sasa swali gani unauliza,au ndo makofi Polisi haya

umejuaje kama ni yeye? wacha kuleta bla bla!? hata km we ndo unaish,na km unajua we ndo unaish umeuliza ili?/
nyie ndo mnaua vikongwe!!
 
umejuaje kama ni yeye? wacha kuleta bla bla!? hata km we ndo unaish,na km unajua we ndo unaish umeuliza ili?/
nyie ndo mnaua vikongwe!!

------- povu linakutoka na picha nimekuwekea humu wewe unafikiri nini au ndo wale wenye nyumba wachawi nyie,Usiku kazi yenye kuroga watu tu shwain
 
------- povu linakutoka na picha nimekuwekea humu wewe unafikiri nini au ndo wale wenye nyumba wachawi nyie,Usiku kazi yenye kuroga watu tu shwain

tutajuaje kama ni yako unataka kutuonyesha we ndo swain hahaha huyo mwenyenyumba wako atakuwa na uchawi wa kuchezea kuhangaika na mpangaji kama wewe loh
 
Wewe unafikiri uchawi unachagua wewe kweli you stuck in the head,man and a half
 
Back
Top Bottom