Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,756
- 22,062
tumezoea kuwasifu ndugu zetu wamasai kuwa wanadumisha mila hasa kwa mavazi yao, swali langu lipo kwa jirani zangu wanaotokea iringa. Je ni mambo gani ya msingi ambayo wakifanya wataonekana nao wanadumisha mila?
kuny.a vichakani

Nachukizwa na threads zenye Elements ya Ukabila kwa sababu inaonesha dhahiri kuwa hali hii haitokaa iishe Tanganyika!!
Utani wa kikabila mbona upo muda mrefu.Nachukizwa na threads zenye Elements ya Ukabila kwa sababu inaonesha dhahiri kuwa hali hii haitokaa iishe Tanganyika!!