Iringa yavuka wastani ukatili wa kingono

Watoto wa Iringa hawa jui kuringa.

Ukiomba K unapewa bado ya moto moto sio mpaa ipowe :cool2:
wale ni watoto wamelelewa kikazi zaid c kipoz zaid....ndo mana ukiwachek wako fiti na wanajua kujihangaisha kusaka riziki na sio kuuza sura
 
Hili suala la kunywa ulanzi walau linaweza kunishawishi kwani nilisikia mahali kwamba ulanzi ni aina fulani ya viagra!

Babu DC!!
 
poleni sana wanawake mliopo huko iringa kwa kulazimishwa utamu..:thinking::sleepy:
 
je hii inatokea kwa kuwa Iringa ni mkoa wenye watu wachache au?
Hamna uhusiano wa mkoa kuwa na watu wachache na Ukimwi......hata Zanzibar kuna watu wachache kuliko mikoa yote TZ lakini ndiko kuna kiwango kidogo kabisa cha Ukimwi......suala la ukimwi Iringa linaweza kuwa na uhusiano mkubwa sana na suala la kutotairi wanaume.....tafiti za WHO zimethibitisha kuwa tohara kwa wanaume inapunguza maambukizi ya VVU kwa asilimia 60%.........hili limethibitishwa kwenye tafiti zilizofanyika ktk maeneo yasiyofanya tohara kwa wanaume mfano...Kisumu..kwa jaluo(Kenya)..etc...hata ndugu zetu wa mikoa ya kaskazini....wanakoishi jaluo..hili limethibitishwa....ndio maana kwasasa WHO wanapiga kampeni za kufa mtu kwa familia kusini mwa jangwa la sahara kutahiri watoto wao wa kiume.....kabla ya umri wa kuanza ngono..hii ni kinga kubwa kwa VVU......
 
Najaribu kupiga mahesabu ya haraka hapa NDIO + HAPANA = ?
Bado najiuliza kwa nini huu mkoa unongoze kwa kuwa na watu wenye Ukimwi?
Ndugu yangu pia hili jambo limeumiza sana vichwa vya watafiti wa afya Tz....kuna factors nyingi zinaweza kuchangia.....wengine wamehusisha hii kitu na suala la mazingira ya Iringa....e.g hali ya hewa ya baridi..eti inachochea ngono..lakini hili si kweli kwani hata mikoa kama Arusha na Kili kuna baridi na hamna maambukizi kama Iringa.....ukweli ni kwamba...chanzo cha Iringa kuwa na maambukizi ya VVU kwa wingi kunaweza kuwa kunasababishwa na kutotairi wanaume.......tafiti za WHO zimethibitisha kuwa tohara kwa wanaume inapunguza maambukizi ya VVU kwa asilimia 60%.....hili limethibitika kwenye tafiti zilizofanyika zile sehemu ambazo wanaume hawafanyiwi tohara e.g Kisumu(Jaluo)na hata mikoa ya kanda ya ziwa TZ....ndio sababu WHO wamepitisha sera ya kutahiri wanaume haswa kabla ya umri wa kufanya ngono....hii ni kinga saafi sana...imethibitishwa kabisa.....inawezekana hii inachangia Iringa kuwa na highest prevalence ya VVU.......kwa hiyo ndugu yangu kama una nafasi ya kuwaelelimisha watu kuwatairi vijana kabla ya kuanza ngono fanya hivyo..inalipa....
 
Hawajakosea mtu wangu....ni kweli kabisa na inatisha vibaya.....yaani mikoa mingine iko chini saana ukilinganisha...hata interventions nyingi za maswala ya ukimwi huwa zinaelekezwa Iringa kwa kipaumbele....kama umekaa Iringa usishangae kuona utitiri wa NGOs za Ukimwi kule...ndio hali halisi..Wilaya zoote.....soma hii survey ya uhakika hapa chini utapata majibu ya prevalence za HIV Tz nzima.......i was involved in this survey too...survey hii ilifanyika 2007/2008....inawezekana trend imeshuka sasa...kwasababu ya massive intervention campaigns......na inawezekana ikawa imepanda pia.......
http://www.measuredhs.com/pubs/pdf/HF28/HF28.pdf

iringa ni nomaaa! Njombe now mkoa,mafinga ,makete ni balaaa, maleria hakuna,maleria ya huko ni ukimwi. Idadi ya wagonjwa hospitalini ya wagonjwa wa ngoma ni kubwa sana.
 
Back
Top Bottom