Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,261
View attachment 30359Wanafunzi wa shule ya msingi wakiwa wameshika bango maeneo ya kihesa Iringa, na wazazi wao wakiwa wanachoma bendera ya CCM wakati wa maandamano Iringa.nipo kule kuna thread moja Nnape kavuliwa taulo live na kina rev .anajuta sasa hivi kuingia JFembu mzikuze basi hizo picha jamani Ivuga upo!
Nimefurahishwa sana na hawa watoto ningekuwa na uwezo ningewalipia ada hadi chuo kikuu