Iringa nimepaelewa!!!

Iringa nimepaelewa!!!

kilichonishangaza Iringa mjini pana Vi bams vyakutosha hadi kero!
Tena zile sio bams tu, zile ni bams za kukomoana. Tarura hao. Wananchi hawazipend na wanazilalamikia sana mpaka leo. Kuna ajali ilitokea ikaua mtoto wa shule, ilikua mbaya ndio sababu wakaamua kukomesha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom