Masagala
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 4,572
- 9,095
Mkataa kwao mtumwa, huwezi kuja kwetu nikwambie pabayaNimetokea
Dodoma kuna jamaa ndio akawa ananipa mwongozo,
Mkataa kwao mtumwa, huwezi kuja kwetu nikwambie pabayaNimetokea
Dodoma kuna jamaa ndio akawa ananipa mwongozo,
Ooh! ngoja niliweke sawa mkuu, namaanisha mijengo na mpangilio wa mji nimepita kahama na ilinga ndio pamenifurahishaUmepaelewa kwenye angle ipi?
ukisema umepaelewa tu bado unakua hujafahamika,
kua specific coz naona kuna wachangiaji wamesha anza kusema hakuna mzunguko wa hela,vyakula ghali,hii yote ni kwasababu hujasema wewe umepaelewa kwenye angle gani au kwenye jambo gani,
Au nakosea ndugu wananchi?
..hujakosea ndg.mwananchi atakuwa amepaelewa kwenye angle ya misambwanda si unaona amesema hata singida panapelea? au nakoseaUmepaelewa kwenye angle ipi?
ukisema umepaelewa tu bado unakua hujafahamika,
kua specific coz naona kuna wachangiaji wamesha anza kusema hakuna mzunguko wa hela,vyakula ghali,hii yote ni kwasababu hujasema wewe umepaelewa kwenye angle gani au kwenye jambo gani,
Au nakosea ndugu wananchi?
Ndio unaenda chuo sio?Duh ila hapo kwenye njia ya kutoka dodoma hizo kona kona sio mchezo mkuu
Itakuwa amekutana na VIRUSI VILAINI na nyamanyama za kihehe.Umepaelewa kwenye angle ipi?
ukisema umepaelewa tu bado unakua hujafahamika,
kua specific coz naona kuna wachangiaji wamesha anza kusema hakuna mzunguko wa hela,vyakula ghali,hii yote ni kwasababu hujasema wewe umepaelewa kwenye angle gani au kwenye jambo gani,
Au nakosea ndugu wananchi?
Chuo cha kimkakati ndio kikoje hichoHahahhhh ni seme tu ni chuo cha kimkakati...
Kukiwa na baridi si unaingia ndani unakoka moto unapasha mwili joto, wewe unafikiri joto na jua kali la Dar watu wanajianika juani muda wote? wanazama ndani wanakaa kwenye viyoyoziBaridi la iringa lingeniuwa
Furahia fahari ya macho wako mkuuWakuu...
kumbe pako good hapa
Iringa, hata singida anapelea kwa maoni yangu!
Jogoo hafi kwa utitiri.Kuwa makini IRINGA NI 3 kwa maambukizi ya Ukimwi,
Usiloweke kizembe,