VIRUSI VIPO KILA MAHALIItakuwa amekutana na VIRUSI VILAINI na nyamanyama za kihehe.
Iringa iko vizuri sana mkuu, usafi wa mazingira mjarabu na inaendelea kutanuka,Wakuu...
kumbe pako good hapa
Iringa, hata singida anapelea kwa maoni yangu!
Hakika.Mimi naona Iringa Njombe Songea Mbeya na Rukwq kote kuna shida mzunguko wa pesa....angalia vyakula vinauzwq bei kutupwa sababu wingi wake na hakuna pesa za kununua....uliwa na fixed income utaishi kwa raha sana maisha yako chini sanaa
mjin pasaf sana alaf vyuo vikuu na vya kat na sekondar vinaleta sana wagen mjn.Iringa iko vizuri sana mkuu, usafi wa mazingira mjarabu na inaendelea kutanuka,
Ni pazuri sana ukiwa cash flowHaimaanishi sio pazuri
Angalia mazingira yalivyo, ni eneo lenye mlima na miinuko, hivyo matuta ni lazima ( usalama zaidi ndo kitu cha msingi)kilichonishangaza Iringa mjini pana Vi bams vyakutosha hadi kero!
Yeah mkuu vyuo ni vingi , sasa hivi iringa mji tunaelekea kuijaza ismanimjin pasaf sana alaf vyuo vikuu na vya kat na sekondar vinaleta sana wagen mjn.
Mitaa ya kishua nayo imeanza kujengwa
Siku ukija niambie nikununulie yoghurt🤔🤔🤔🤔🤔Nami nitapatembelea huko.
Tena Isiman ndo viwanja kitonga wagen wanapagawa balaa.Yeah mkuu vyuo ni vingi , sasa hivi iringa mji tunaelekea kuijaza ismani
Mkuu znapunguza ajali japo ni kero ya mda mfupkilichonishangaza Iringa mjini pana Vi bams vyakutosha hadi kero!
Jero jero tuNjoo hapa Mwembetogwa upate ugimbi
Kama kile alichosomea BICHWA KOMWE?Hahahhhh ni seme tu ni chuo cha kimkakati...
Kabisa kabisa . Unakula na kande za jero unarudi home upo ki askariJero jero tu
Ukiw na elf 5 na chej ya samak mashine 3 inabak
Hahaha anakufa kwa kideri🤣Jogoo hafi kwa utitiri.
Saanaa yaniNi pazuri sana ukiwa cash flow