Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

Dodoma sijawahi kupaelewa japo serilali inajitahidi kufanya massive Investments
 
Dodoma sio mbaya kama mnavyoisagia kunguni humu dahhh 😁😁

Ni ukame Tu ndio sababu au mna mengine,

mbona dar kuna joto, foleni, kimvua kidogo mito inafurika na kuna uswahili mwingii lakini bado mnaipenda

Dodoma ina ubaya wake lakini si kwa kiwango hicho 😁😁😁🙌🙌🙌
 
Wewe ndio mshamba. Nani kakuambia kwmba mji unajengwa na serikali ? Tunazungumzia uzuri wa mji. Dodoma pa hovyo sana baridi ya ajabu ajabu na vumbi jingi. Aidha toka bunge na serikali vimehamia Dodoma mbona mzunguko wa pesa hakuna ? Naunga mkono hoja Iringa ni pazuri kuliko Dodoma. Aidha usilinganishe Jiji la Mwanza na hicho kijiji chenu sijui unakiita Idodomya.
 
Iringa hukujui wewe Acha maneno yako huwezi kufananisha Dodoma na Iringa labda kama umeshindwa maisha wewe
Dodoma ina hipita iringa mjini zaidi ya mara 100
 
Dom wengi wanapakataa sijui kwanini!
Hata mkipakataa ndiyo pameshakuwa makao makuu. Hakuna anayelazimishwa kukaa Dodoma. Tuacheni na jiji letu kaa unapoona panakufaa. Nakushauri jikite zaidi kuangalia ustawi wa familia yako na usipoteze muda kuijadili Dodoma maana hakuna namna kwa sasa kubadili maamuzi maana Dodoma patakuwa makao makuu ya nchi daima hata iweje.
 
Daslam watu wakienda na kutakata wanatakata..Ukiwa njema tena ndo kabisa maisha yanakuwa matamu..kero zinazotajwa kuhusu Dodoma hata ukiwa njema kuna namna huwezi kuzikwepa.
 
Dodoma kama hauna pesa utaipata vizuri ila dar hata kama hauna pesa unaishi poa tu
 

Tunaongelea uzur hatuna ajenda ya kubadili capital..,,,.. acha stereotype
 
Iringa hukujui wewe Acha maneno yako huwezi kufananisha Dodoma na Iringa labda kama umeshindwa maisha wewe
Dodoma ina hipita iringa mjini zaidi ya mara 100

Lete ushaidi siyo mashairi..,,,
 
Ila tuna enjoy pussie za kirangi na za ki singida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…