IRINGA: Mkoa wenye kabila moja tu!

Mbona nimewahi kusikia kuna kabila la Wadzungwa wanaotokea maeneo ya nyanda za juu za mkoa wa Iringa?

Vv
Hao ni wabenamanga wako milima ya udzungwa inayopakanisha Morogoro na lupembe Njombe ila huwa wanakuja kulima eneo la bomang'ombe kilolo!
 
dalili za kukosa kazi ya kufanya mtoa mada
 
Mipaka ya makabila haijawahi kuwa wazi (vivid) hata siku moja hivyo HOJA YAKO HAINA MASHIKO. Kila mahali linaweza kuwepo kabila lolote
 
(5) Geita - Wasukuma
(6) Kigoma - Waha
(7) Moshi (kilimanjaro) - Wachaga
(8) Dodoma - Wagogo
(9) Mtwara - Wamakonde
(10) Bukoba (kagera) - Wahaya.

NB: Kwenye mikoa hiyo, wengine kama wamo ni wakuja tu (Wamahanga) na ni wachache wala hawajulikani.
Una matatizo
 
Kwani nn kimekosekana iringa ukilinganisha na mikoa unayodhan imeendelea?
 
(5) Geita - Wasukuma
(6) Kigoma - Waha
(7) Moshi (kilimanjaro) - Wachaga
(8) Dodoma - Wagogo
(9) Mtwara - Wamakonde
(10) Bukoba (kagera) - Wahaya.

NB: Kwenye mikoa hiyo, wengine kama wamo ni wakuja tu (Wamahanga) na ni wachache wala hawajulikani.
Acha kuchafua hali ya hewa we umenoti makabila maarufu tu kwa taarifa yako Geita wasukuma ni wahamiaji kuna makabila ya asi li kama wazinza, wasumbwa nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…