IRINGA: Mkoa wenye kabila moja tu!

Hakuna Tanzania hii mkoa ambao una kabila moja tu sana sana kunakuwa na kabila moja kubwa halafu makabila mengine madogo madogo.
 
Ukienda kilolo unakutana na watu tofauti wanaitwa wazungwa hawa ni sawa na wabena wote walikuwa wahehe ila jiografia ikawatenga
 
(5) Geita - Wasukuma
(6) Kigoma - Waha
(7) Moshi (kilimanjaro) - Wachaga
(8) Dodoma - Wagogo
(9) Mtwara - Wamakonde
(10) Bukoba (kagera) - Wahaya.

NB: Kwenye mikoa hiyo, wengine kama wamo ni wakuja tu (Wamahanga) na ni wachache wala hawajulikani.
Wapare ni wschache?!!......warangi ni wachache?
 
Karne Ya 21 Unazungumzia Makabila?
Kazi Ya Kabila Nini Hasa? Mnataka Kutambika
By Mwl Julius Nyerere
 
Kwa kukuelimisha wewe usiejua kitu makabila yanatajwa kwenye sheria ua Local Customary Law Declaration Order ya mwaka 1963...
 
Mbona nimewahi kusikia kuna kabila la Wadzungwa wanaotokea maeneo ya nyanda za juu za mkoa wa Iringa?

Vv
 

Shida nini sasa,
 
Si kweli wachaga wapo wengi
 
(5) Geita - Wasukuma
(6) Kigoma - Waha
(7) Moshi (kilimanjaro) - Wachaga
(8) Dodoma - Wagogo
(9) Mtwara - Wamakonde
(10) Bukoba (kagera) - Wahaya.

NB: Kwenye mikoa hiyo, wengine kama wamo ni wakuja tu (Wamahanga) na ni wachache wala hawajulikani.
Nyie ndo mumekariri,ko bukoba ni mkoa? Rudi shule
 
MakabilA yanahusiana vp na maendeleo ya nchi.??? Mkoa umegawanyishwa ili kurahisisha administration. Sasa makabila yana influence gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…