Iringa: Basi la Isamilo lapata ajali kwa kugongana na lori

Kwa upole wako mara nyingi nakuchulia ni msukuma. Pole kwa kukubatiza kabila sio lako

spidi gavana vipi. mbona bus zinakumbia sana
Hamnaga trafick huko.
Kipindi cha el ninyo tulienda Singida.
Mda wa kurudi kupitia Manyoni haiwezekani tukapita hiyo njia ya Kondoa. Tukafika kati hapo kuna roli limekwama limeziba njia.
Bus ziko km 8 roli kibao.
Kaa sana unaambiwa jioni mnafungua bar.kuna roli jamaa analo lina taa juu kule na anamziki balaa basi anafungua tu😂😂😂mnakula mziki kuna roli jamaa alikua kajaza kuku unanunua jogoo unachomewa live.roli lingine kabeba vikali toka Mwanza .ikawa kila kitu kipo hela yako tu.
Watu walikanyagana tukakaa wiki hapo.
Ndo badae kuskia Manyoni njia iko wazi tukarudi Singida kuitafuta Manyoni.
Yule dereva alikua anaitwa Tyson na hasira zake awahi Dar unaambiwa mbio tu njiani humo.
Kufika saranda katubwaga tukala vumbi sana🤣🤣🤣.
Mpaka tunasukuma Bus kutoka kimbembe.
 
[mention]Moderator [/mention] Naomba uzi hu ufutwe sasa
 
Inasikitisha sana...

Hivi mfano mjinga mmoja anapochomoka na ku overtake kwenye foleni, wanaokuja mbele yake wanashindwa kupunguza mwendo, mpaka waje kukutana uso kwa uso?
 
Inasikitisha sana...

Hivi mfano mjinga mmoja anapochomoka na ku overtake kwenye foleni, wanaokuja mbele yake wanashindwa kupunguza mwendo, mpaka waje kukutana uso kwa uso?
Sasa kama naye yupo speed halafu ghafla anaona gari ipo karibu mita ambazo hazifiki hata 10 anafanyaje?
 
Back
Top Bottom