Iringa: Basi la Isamilo lapata ajali kwa kugongana na lori

.
giphy.gif
 
Hao makonda uwa wanapendaga kukaa pembeni ya dereva.
Ikitokea ajali dereva anawapeleka wao kwanza wa upande wa kushoto.
Ukipanda gari hakikisha unakaa siti za upande wa dereva.
Sasa unataka wakae wapi wakati upande huo ndio kuna sehemu yao ya kukaa?Inategemea na aina ya ajari, mala ngapi gari zinagongana uso kwa uso dreva ana kufa na walio upande,wake? na upande huu mwingine wanapona?
 
Dereva wa lorry alikuwa anabeti 😂 maswala ya kutaka ku overtake off-site ni mabaya sana! Unaweza ukazingua yani ikawa balaa ukafa kabisa

ndio michezo yao hiyo wanabet sana, mambo wanayofanya abiria unakuta wako kimya hakuna hata anayekemea....ngoja ajali itokee wahojiwe utasikia " dereva alikuwa anaendesha gari vibaya"
 
Sasa unataka wakae wapi wakati upande huo ndio kuna sehemu yao ya kukaa?Inategemea na aina ya ajari, mala ngapi gari zinagongana uso kwa uso dreva ana kufa na walio upande,wake? na upande huu mwingine wanapona?
Asilimia kubwa kwenye ajali inayoua madereva wengi uwa wanatoka.
Wangekuwa wanakufa Sanaa wangekuwa na akili
 
Ushaambiwa Migori Iringa. Usichojua nini mwanangu au ubishi tu?
Acha kupaniki taarifa hii umeisoma baada ya kueditiwa muulize muleta mada kama ilikuwa hivyo.
Ukiangalia comment za mwanzo zote zimeuliza ni wapi au sisi wote tulio anza kukomenti ni wabishi.
 
Mwezi Jana nilitaka kupoteza mzazi happy baada ya gari ndogo aliyokuwa amepanda kupinduka na kuvunjika bega na wengine kujeruhiwa walikimbizwa Iringa Hosp baada kwakweli Hali ilikiwa mbaya Sana now ameri cover mzazi wangu
 
Katik kitu ambacho takumbuka kwenye utawalawa JPM mojawapo ni kupunguza ajali hasa kipindi cha kuelekea mwisho wa mwaka.
 
Hao makonda uwa wanapendaga kukaa pembeni ya dereva.
Ikitokea ajali dereva anawapeleka wao kwanza wa upande wa kushoto.
Ukipanda gari hakikisha unakaa siti za upande wa dereva.
Acha basi kujikuta Messi kwenye kukwepa ajali mjingawewe.
 
Mwezi Jana nilitaka kupoteza mzazi happy baada ya gari ndogo aliyokuwa amepanda kupinduka na kuvunjika bega na wengine kujeruhiwa walikimbizwa Iringa Hosp baada kwakweli Hali ilikiwa mbaya Sana now ameri cover mzazi wangu

Mshukuru sana mungu mkuu
 
Back
Top Bottom