Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 261
Geita wameshatoa mfano wa kushughulika vizuri na watu kama ninyi. Zamu yako itafika.Sasa anajinyonga vipi tenaa huyu nae akati alikua anafanya mapenzi ambayo nature inataka?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na watajinyongaa sanaa, mbna badooo. Lol
Inawezekana huyo ndiyo mpenzi wake wa kwanza,na ndiyo mara yake ya kwanza kuumia kimapenziSasa anajinyonga vipi tenaa huyu nae akati alikua anafanya mapenzi ambayo nature inataka?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na watajinyongaa sanaa, mbna badooo. Lol
Na hilo ndo tatizo liliompa mawazo ,mambo ya kuwa na mwanamke mmoja akikutia tu stress huna pa kwenda kupumzika Kwa harakaInawezekana huyo ndiyo mpenzi wake wa kwanza,na ndiyo mara yake ya kwanza kuumia kimapenzi
Ova
Hiyo mitaa si ndio ya kujinyongea?Kijana Carlos Mwamilinga aliyekuwa na miaka 37, amekutwa amejinyonga kwa kamba katika chumba alichokuwa akiishi eneo la Njiapanda ya Mtwivila kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni kutingwa na mawazo kupita kiasi kutokana na kuachana na mkewe mwezi mmoja uliopita.
Marafiki na majirani wa marehemu, wamebainisha kwamba, kijana huyo baada ya kuachana na mkewe, akaanza kunywa pombe kali huku akionekana mwenye mawazo sana.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Idunda, Elisius Mbilinyi, amesema sababu ya moja kwa moja ya kijana huyo kujinyonga haijafahamika, huku akibainisha kwamba marehemu alikuwa akiishi peke yake baada ya kuachaba na mkewe.
Chanzo: Azam TV
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watekelezaji wenyewe ndo hawa wanaanza kujiua wao wenyewe, watanifikia mie lini hiyooo??? Poleeeee weeeGeita wameshatoa mfano wa kushughulika vizuri na watu kama ninyi. Zamu yako itafika.
Na badoo watajinyongaa mnooo tena na tena.Inawezekana huyo ndiyo mpenzi wake wa kwanza,na ndiyo mara yake ya kwanza kuumia kimapenzi
Ova