Huyu mtoto mke wa mwanandinga Ndikumana wa kule Cyprus raia wa Rwanda kwa kweli ana mvuto wa kipekee mie huwa naangalia movies zake zote alizoshirikishwa ni kifaa cha ukweli
Hebu check hilo tanasamu lenye bashasha
Hapa kiwa katika one of the movie scene
Siku ya harusi yake alipendeza sana
Wenye picha zaidi za huyu staa na wengine kina aunty, wema, johari nk wekeni kwenye thread hii...
Yote tisa ndoa idumu!!! Ni mzuri ila tatizo la visura wetu hawatulii ndani. Je huyu ametulia? Na huyo msukuma ball naye vipi ametulia?? Au ndiyo zile ndoa za maceleb lama kina Tiger woods na wengineo.