Irene Uwoya achora tatoo mkononi ya kumuenzi Agnes Masogange

Khaa jamani ebu mpumzisheni mdada wa watu, yupo kwenye wakati mgumu mno! Aggy alikua rafiki yake haswaa hakuna asiejua

Kama kaona hiyo ndio njia pekee ya kumuenzi basi heshimuni mawazo yake!
 
Umenenena mkuu watu wanapenda kuonekana wema ama maarufu wakati matendo yanaongea zaidi ya mbwembwe
Aaaaf atakua katumia ina kuchorea kesho inafutika kama alieza kuigeuza ya ndikumana kuwa ua ndo atashindwaje ya agnes
 
Na kweli, mpaka yule mkaka sijui nani ndo awe na marehemu mpaka dk za mwisho wadada walikuwa wapi?;
Leo hii wanajiliza na tattoo juu!!
Wanaleta maigizo mpaka kwenye misiba, wakipewa nafasi waigize kwenye bongo movie wanatuektia jambaz kavua viatu, shubamiit.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom