Irene Tilya wa East Africa Radio ananifurahisha

fukunyungu

JF-Expert Member
May 16, 2011
717
194
Huyu mwana dada huwa ananifurahisha Sana na nikimskia kwenye kipindi Chao cha dinga mpya akiwa na somebody kingu, natamani cku moja nimuone live, amealiwa sauti nzuri na anaweza kumiliki kipindi, dinga mpya ya town oyeeee
 
ni mdogo wake na yule Tilya alikuwa clouds aliyefariki kwenye gari akienda kutambulisha mchumba huko kwao Moshi
 
even me huwa ananivutia tangu akiwa na akina Ian Diallo na Isack kwenye e.africa breakfast..thou Bazil Mbakile naye nimemms sana cjui kaenda wap
 
even me huwa ananivutia tangu akiwa na akina Ian Diallo na Isack kwenye e.africa breakfast..thou Bazil Mbakile naye nimemms sana cjui kaenda wap

Mskilize asubuhi anasoma magazeti kama PJ nae siku hzi
 
Hata Mimi napenda kufaham alipo basil mbakile, jamaa alikua anaijua jioni inavyokua vizuri Sana, hasa katika siku za kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom