NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 697
- 1,112
Akiacha mambo yake yalee..atafika mbali..mrembo wa siku nyingi imagine 1979 lakin Dada yenu sitti wa 1985 USO umemparama kijeba..mimba za utotoni tabu sana!
yani nampenda sana huyu dada toka enzi miss tmk
na sijui urafiki na nancy umeishia wapi maana mwanzo walikua karibu sana
ila sasa hivi siwaoni wote
mi najua irene ana mtoto anaitwa zion kazaa na mzungu mmoja hivi na mkubwa kweli mtoto wake anaweza kua ht na 7yrs maan nlimuonaga kwenye bang mda sana
Lakini bado wazuriii,,wema hata mtoto hana lakini utafikiri ni miss wa 1998
yule dada anajipenda mpaka rahaas
yaani yuko hvyo hvyo nampenda sana
Anajiweka poa ndio maanaaa
dina unaangaliaga movie za kihindi?!&
Kwanini hua naangalia moja moja ,kama Krish,Gaijin,kuch kuchi hota he,na nyingi.za Sharku khan na salma khan
Vipi zimefanyajee!!!
hebu waangalie wale wadada waliokuwaga mamiss worl na universe
aishwarya rai miss world94 kazaliwa 73
priyanka miss world 2000 kazaliwa82
lara duta miss universe2000
dia mirza miss asian pacific km sikosei2000
ukiwaona bado vimwari yaani sijui wanakula nini wenzetu
utafkri wa90 muangalie sitti mtemvu linganisha na hao
Mazoezi,diet ya msosii,wana pesa piaa,hawaugui hovyoo,hawana mawazo sanaa,
Lakini sitt kwao wana uwezo lakini sura ngumu kama mtoto wa Maskinii
Nampenda priyanka chopra ule wimbo wake excotic hua najaribishia kuucheza tule tumikono wanavyotuchezesha hhhhaaaa
hahaaaaaaa
haya yaani mi ht siwaelewi hawa wa kwetu
yaani wahindi wale wakichukuliwa leo umiss wanashinda tena
ila hapa kwetu sitti na mrs.ck hapana kkaaah
mi nawapenda sana wale wahindi