IRDP(CHUO CHA MIPANGO OAS YAO INA SHIDA GANI KATIKA ACADEMIC RESULTS YA FORM SIX?

Suip

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,129
2,000
Mwenye kufahamu, kuna mwanafunzi ameomba hicho chuo Dodoma lakini kila akiingiza result za form 6 inaandika wait unapo save results kwa muda mrefu bila respond. Tafadhali msaada.
 
Mikdde

Member
Sep 12, 2018
59
95
Mwenye kufahamu, kuna mwanafunzi ameomba hicho chuo Dodoma lakini kila akiingiza result za form 6 inaandika wait unapo save results kwa muda mrefu bila respond. Tafadhali msaada.
System haijakaa pow
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom