Iran's navy offers to escort Gaza ships | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iran's navy offers to escort Gaza ships

Discussion in 'International Forum' started by MziziMkavu, Jun 6, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Official: Elite Revolutionary Guards are prepared to intervene


  TEHRAN - Iran's elite Revolutionary Guards are ready to provide a military escort to cargo ships trying to break Israel's blockade of Gaza, a representative of Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei said on Sunday.


  "Iran's Revolutionary Guards naval forces are fully prepared to escort the peace and freedom convoys to Gaza with all their powers and capabilities," Ali Shirazi, Khamenei's representative inside the Revolutionary Guards, was quoted as saying by the semi-official Mehr news agency.
  Any intervention by the Iranian military would be considered highly provocative by Israel which accuses Iran of supplying weapons to Hamas, the Islamist movement which rules Gaza. The Guards, with their own navy, air force and command structure separate from the regular armed forces, are seen as fiercely loyal to the values of the Islamic Republic.
  "If the Supreme Leader issues an order for this then the Revolutionary Guard naval forces will do their best to secure the ships," Shirazi said. "It is Iran's duty to defend the innocent people of Gaza." Last Monday Israeli troops killed nine activists on board one ship in a convoy trying to deliver aid to Gaza, sparking international outrage, especially in Muslim countries.
  Another ship was boarded on Saturday and pro-Palestinian activists have promised more as they challenge the blockade imposed four years ago with the stated aim of stopping arms getting to Hamas.
  Prime Minister Benjamin Netanyahu said Israel will continue to stop ships reaching the shore and creating "an Iranian port in Gaza," a reference to Iran's support for Hamas.


  Iran's military offers to escort Gaza ships - Iran- msnbc.com
   
 2. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  CAN'T WAIT to see this, hapo ndo utakuwa mwisho wa iran...israel has been looking for that oppportunity to smash iran to the ground!
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Unafiki wa waarabu ndio unaowaumiza. Sasa hapa wanasiasa wa Iran wanaanza kujiingiza kwenye mgogoro...mwisho wa siku wapelestina na waarabu wa kawaida ndio watakaoumizwa.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Please nyie waajemi..Hao waarabu waliwaulia mababu zenu leo mwataka enda kuwatetea?

  Haya nendeni basi tuone mpambano..msiishie maneno matupu kama Zawadi Ngedere na kundi lake la bandwagon cheerleading Arab a$$- kissers.
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  nakwambia, israel walikuwa wanatafuta sana nafasi ya kuingia kwenye mgogoro na iran, kwasababu iran amekuwa akiwapa silaha hezborah kwa muda mrefu na israel wamekuwa wakitafuta nafasi ya kuwashutumu ili wakiingia vitani warushe makombora yao ya nuke walipue nuke ya iran...sasa hapo wayahudi watafurahi kweli kuona iran imejileta yenyewe...ni sawa na umeenda kuwinda, afu mnyama anajileta mwenyewe..ni furaha iliyoje...

  kabla president bush hajaondoka madarakani, alijua obama hataisapoti israel, kuna silaha nyingi nzito ajabu zilisafirishwa kwenda israel, silaha zile zenye uwezo wa kulipua kinu cha nyuklia hata kama kiko chini ya handaki la ndani kabisa, and they were preparing kulipua vinu vya nuke vya iran ambavyo vingi viko chini ya ardhi....so hiyo itakuwa furaha kwa israel, kwasababu wakiwasambaratisha iran, watabaki kwa amani kidogo.
   
 6. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2010
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Sina uhakika kama Iran inaweza kweli kuchukua hatua hiyo kwani wanajua madhara yake. Israel itapata nafasi ya kufanya vitu vyake na nafikiri hata Iran wanajua nguvu za Israel hivyo hawawezi kujaribu kuwachokoza kwa mtindo huo!!!!

  Tiba
   
 7. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  bila shaka ni ndoto ya mchana hiii,,,,yaani israel wamejaribu kila njia kutafuta nafasi ya kuingia kwenye mgogoro na iran wameshindwa, wamejaribu kuingilia kwa njia ya sababu juu ya hezborah na hamas wameshinda, alafu msosi ujilete wenyewe hivyo mbona itakuwa furaha jerusalem!...
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Ikiwa hivyo basi tusubiri tiffu dunia nzima!
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Jun 6, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,805
  Likes Received: 5,098
  Trophy Points: 280
  ..bila Olusegun Obasanjo kutishia kutaifisha visima vya mafuta vya BP vilivyoko Nigeria, UK isingemtema Ian Smith wa Rhodesia.

  ..hawa Waarabu wasitishe kuuza mafuta kwa miezi miwili tu, tuone kama USA hawatawatema Waisraeli.

  ..tatizo ni kwamba Waarabu hawana umoja.

  NB:

  ..naamini kwamba UN ilikosea kuigawanya Palestina. pamoja na hayo, naamini ktk suluhisho litakalowapatia Wapalestina kile walichokuwa wameahidiwa na UN. vilevile wakimbizi wa Kipalestina wafidiwe na wapewe uraia ktk mataifa mengine ya Kiarabu.
   
 10. A

  Alpha JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  You do realize that denouncing Israel's behavior does not necessarily equate to supporting everything Palestinian or Arab. The two can be mutually exclusive.
   
 11. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  aisee we nyoka, sijui kwanini umechagua jina hili baya la shetani serpent, well, waarabu njaa inawauwa, ndo maana hawawezi kunywa mafuta, wanahitaji pesa ili kuishi, wanaishi jangwani hawalimi, unataka wasitishe kuuza mafuta kwa marekani halafu wale nini? marekani yenyewe ina mafuta kibao kule nchini kwao lakini hawataki kuchimba kwasasa, wanataka wamalize kwanza haya ya waarabu halafu ndo waanze yao, pia, kama wakisitisha mafuta ndo hapo marekani watafanya exploration nchi zingine ili kugundua mafuta sehemu zingine kitu kitakachowaua kabisa waarabu...hebu fikiria kama nchi zote za africa zingekuwa na mafuta mengi kama nigeria, soko la waarabu lingeyumba wangetakuwa wahamiaji haram huku kwetu,

  marekani inaipa misri karibia bilioni tatu na nusu dola kila mwaka, na misri haina ujanja, ndo walioweka bomba la mafuta toka misri hadi israel....watafanya nini maskini mafarao...hahaha.

  canada, na nchi zingine zimegundua mafuta mengi sana na zitaanza kuchimba muda si mrefu, pia kumbuka lile bara baridi la antactica, kuna mafuta ya ajabu na watu wanasubiria tu barafu iyeyuke kwa hii global warming wachime mafuta...

  pia, kama mafuta ya waarabu hayatauzwa nchi ya marekani etc, ndo itakuwa vizuri ili wagundue mitambo na machine zisizotumia mafuta, magari ya maji, magari ya ges kama nchi zingine zilivyo sasa etc, na waarabu watakunywa mafuta...cha kukuelewesha ni kwamba, waarabu walishajua muda mrefu kuwa wakijaribu kufanya ivo ndo itakuwa mwisho wa maisha yao, watahatarisha soko lao la mafuta..hivyo hawana jinsi ila kulamba viatu vya wazungu tu, na hii itadumu milele. ISRAEL JUUU, JUUU JUU KABISAA.
   
 12. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #12
  Jun 6, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Sasa Iran inataka ku-complicate hali ya amani hapo Mashariki ya Kati; badala ya kutafuta suluhu ya mgogoro ule wao wanataka kuuongezea makali kwa kujifanya wababe. Hicho ni kiburi ambacho kinaweza kuwa na gharama kubwa sana kwa amani ya dunia nzima hasa tukizangatia ile chain reaction inayoweza kutokea.
   
 13. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ahahahahaha Iran weeeee Iran. Ulishindwa na Iraq unataka kujaribu Israel?
  Umekwisha wewe. Utabaki historia ya dunia wewe.
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Really? U r asking me to be naive?
   
 15. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #15
  Jun 7, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Iranian Aid Ships To Set Sail For Gaza

  Two Iranian aid ships carrying humanitarian relief and medical supplies for the people of Gaza will set sail for the coastal sliver in the upcoming days.

  Iran's Red Crescent announced Monday that the cargo will include food, medicine and appliances and it will be accompanied by a group of Iranian doctors and relief workers.

  "The aid consists of food and medical supplies, which will be transported into Gaza via the Rafah border in Egypt before the week is through," the country's Red Crescent Director Abdolraoof Adibzadeh said.

  The Rafah border crossing is the only escape route from Gaza that does not lead to Israel.

  "Iran is also preparing to dispatch a navy hospital ship for the people of Gaza, which will have onboard doctors, nurses and all the medical equipment required for emergency surgeries and procedures," Adibzadeh further explained.

  The decision comes in the wake of a deadly Israeli attack on the Gaza-bound Freedom Flotilla carrying thousands of tons of aid supplies and hundreds of humanitarian activists to the coastal strip.

  Israel's military attack into the Turkish aid vessel M.V. Mavi Marmara resulted in the death of nine activists -- including a Turkish teenager -- and the injury of more then 40 others.

  SBB/CS/MMA

  Iranian aid ships to set sail for Gaza
   
 16. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hilo zi tatizo, watafika pale, watakamatwa watakaguliwa kama meli zingine zinavyofanya. tatizo lilikuwa kama wangetuma meli ya kivita pamoja nayo ili kuilinda hiyo meli ya mizigo hapo ndo wangeona cha mtema kuni..lakini kama hawatatuma meli ya kivita..ni kitu cha kawaida tu...kwani tatizo liko wapi? they will just be treated kama wenzao walivyokuwa treated...na kwa sasa nafikiri israel wamepunguza makali hivyo wanaweza wasitumia mabavu sana labda kama wataanza kushambulia makomandoo kama walivyofanya wale waliopita...hapana shida, waache walete hiyo mizigo kwa ndugu zetu wa palestina, pamoja na kwamba itabidi wapitie kwenye Ashdon kupakua mizigo, kukagua na ndo itasafirishwa kwa gari kuingia gaza.
   
 17. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2010
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Typical of Zionist mentality, similitude of satanic arrogance which led him to refuse to bow to Adam with a very intelligent argument when he argued with God Almighty buy saying: "how can I bow to a created being who has nevertheless been created from dust/earth (something of lesser value) than me, who is created from Naar (fire)" when he intended to say from Nuur (light).

  Satan's argument was straighforwardly genuine, that is, it is haram to bow to any created being except God. His arrogance, overconfidence, and too much know led him to NOT realise that the command to bow down to Adam was from God Almighty and must be obeyed.

  Your very intelligence and overconfidence about the vision of how everything will go when arabs become a straight people on dealing with the muslims' wealth that Allah (SW) has entrusted them, is exactly like satan/iblis way of thinking which led him to where he is now, a cursed creature who will never be able to redeem himself from fire of hell.

  For your information, people of the faith to Almighty, do not fear Zionists' or Westerners' misguided scenarios like the one you are describing here. They are certain that the future is, and will always be in the hands of God Almighty. The only conditions attached to it are: (1) To believe firmly in God Almighty, and (2) To do things according to the law(Shariah) that HE, ALMIGHTY has brought down thru his Prophet Muhammad (SAW) na ndio inayofanya mpaka leo harakati ziendelee huko Afghanistan, Palestine na sehemu nyinginezo athough from our eyes these guys have very little and insignificant means to sustain. These are the conditions that the arabs in general are missing and that is why they lack confidence and trapped into your idiotic scenarios. Unfortunately, the more they try to find security from Kufaars, either be Zionists or Westerners the more Allah increse their worries and fear and they will never be relieved until they return to their deen.

  Wewe endelea kujidanganya lakini ujue kwamba Zionism na support yao ya Magharibi wanji-set up wao wenyewe kwa destruction. Na hakuna kitachowamaliza isipokuwa:
  1. Wao ni watu dhulumati, kitu ambacho inakuwa haramu kwao kuwa ndio ultimate victorious. Dhuluma haitoshinda milele.
  2. Mfumo wa maisha anaouridhia Muumba amabo ni UISLAMU bado upo na utaendelea kuwepo.
  3. WaZayuni wanafanya makosa ya kujitia mtegoni wenyewe kwa kujikusanya pamoja katika ardhi takatifu na kueneza ufisadi katika ardhi ile badala ya kuchanganyika na mataifa. Si umesikia juzi juzi tu hapa kwamba wanataka kufanya pale katika ardhi takatifu kuwa ndio capital ya homosexuality katika middle east??? au ndio hiyo JUUU JUUU JUUU KABISAAA unayoishabikia??
   
 18. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  no wonder your name is nyoka...
   
 19. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,140
  Likes Received: 23,811
  Trophy Points: 280
  I can't wait to see this happening~si waanze basi hiyo escort mbona maneno tu!.
   
 20. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Dont play with God's Nation
   
Loading...