BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Na Venezuela nako walikotaka kuweka kibaraka chao waliogopa moto wa Venezuela au walimuhofia Putin baada ya kutia mguu Venezuela!? Tafakari kwa kina.
Kwa hiyo mkuu --umewaamini ''"sio kwamba wameamua kufikia huo uamuzi baada ya kuuona moto wa Iran kuwa hauzimiki. ..Halafu mbona kule Venezuela wamekimbia '? Haha