Irani yaishangaza dua

Irani yaishangaza dua

Ndege ya kijasusi ya Marekani isiyo na rubani (Drone) aina ya MQ-4C iliyodunguliwa na Makombora ya Iran, ndio ndege kubwa na ya kisasa kabisa kuliko ndege zote zisizo na rubani za Marekani, Ndege hii ina kasi mara nne ya ndege ya Kivita F-16. Gharama ya ndege moja ni Dola za Marekani Milioni 131

Na kufanya kuwa ndege isiyo na rubani (drone) ya ghali kuliko zote duniani. Mradi wa Kutengeneza Ndege hii uliidhinishwa``` mwaka 2018 ni miezi 13 iliyopita. Ndege hii imeundwa kwa kuwekewe aina zote za tekinolojia za ulinzi za Marekani. Wakati ndege hii ilipokuwa ikipita katika Anga la Iran, Vifaa vyote vinavyoweza kusababisha ikagunduliwa (detecting device) vilizimwa.

Swali la kujiuliza: Je Taifa la Iran limewezaji kuigundua ndege hii ya Kijasusi na kuweza kuisambaratisha kwa shambulio moja tu aina hii ya ndege ya Kisasa kabisa kwa Marekani?

Ni vema ikafahamika hapa kuwa Silaha zote Iran zinatengenezwa ndani ya Taifa la Iran kupitia wataalamu wazawa na Raia wa Iran. Iran ina mengi ya kuistaajabisha lakini dunia Ndege ya kijasusi ya Marekani isiyo na ruban MQ-4C iliyodunguliwa na Makombora ya Iran, ndio ndege kubwa na kisasa kabisa kuliko zote Marekani, ndege hii ina kasi mara nne ya ndege ya Kivita F-16. Gharama ya ndege moja ni Dola za Kimarekani Milioni 180. Na kufanya kuwa ndege isiyo na ruban (drone) ya thamani kubwa kuliko zote duniani. Mradi wa uundaji wa Ndege hii ulizinduliwa mwaka 2018 ni miezi 13 iliyopita. Ndege hii imejengwa kwa kuelewa tekinolojia zote za Marekani katika uundaji wa Ndege isiyo na rubani (drone).

Wakati ndege hii ilipokuwa ikipita katika Anga la Iran, Vifaa vyote vinavyoweza kusababisha ikagunduliwa (detecting device) vilizimwa.

Hii ndio faida ya kumiliki tekinolojia ya ndani ya nchi. Bila msaada wa mataifa Adui. Hili ni somo tosha kwa Mataifa yanayotegemea Silaha za Adui kujilinda.

Kwa taarifa nilizonazo Mfumo unaohamishika wa makombora ya Anga ndio uliotumika kuangusha na ndege hii. Iran ina mengi ya Kushangaza lakini bado Dunia haijatambua hilo. Hii ndio faida ya kumiliki tekinolojia ya ndani ya nchi. Bila msaada wa mataifa Adui.

Hili ni somo tosha kwa Mataifa yanayotegemea Silaha za Adui kujilinda.

Kwa taarifa nilizonazo Mfumo unaohamishika wa makombora ya Anga wa KHORDAD ndio uliotumika kuangusha na ndege hii.View attachment 1132952View attachment 1132953View attachment 1132954View attachment 1132955


All in all Russians must be behind it, Iran can't do it by itself.
 
Wait and will see, Iran have did very big mistake" Trump
 
Mkuu naona ghafla umekua mbunifu wa kujifariji. 😂 😂 😂 😂


Warusi na wairani wanashirikiana kijeshi kwa siri kubwa kwa kuona hilo ndipo Saudia nadhani miaka 2 iliyopita iliingia mkataba wa mabilioni ya dola kununua vifaa vya kisasa vya kivita kutoka Marekani--- hii yote ni hofu juu ya nguvu za kijeshi za Iran na Russia.

Ikumbukwe kwamba Russia ipo juu duniani katika "defensive systems", hivi sasa katia saini mkataba wa ushrikiano na Turkey kuanza kutengeneza hizo silaha za kinga huko Turkey na hii ni baada ya Marekani kumpiga mkwara Turkey alipotaka kununua hizo silaha za kinga kutoka Russia.
 
Mie sina upande bali I am telling it as it is. Lini mie nilikwambia ni Mmarekani!? 😳

Umeona humu ninavyowapinga hao Taifa teule la Israel? Nisome kwa kituo badala ya kuhitimisha vile utakavyo weye.

Hata kwa kiduku mlisema hivyohivyo bana hatuwaamini tena nyie wamarekani.hahahaaaa mmekua kama kinyago
 
Mbona kwa mkorea kashindwa?
Mie sina upande bali I am telling it as it is. Lini mie nilikwambia ni Mmarekani!? [emoji15]

Umeona humu ninavyowapinga hao Taifa teule la Israel? Nisome kwa kituo badala ya kuhitimisha vile utakavyo weye.
 
Ni wakati wa Marekani kujitathmini upya ile heshima ya kuvimba imeenda wapi?

1.Huawei tu wamekausha hakuna kujishusha.
2.Drone limeporomoshwa na Muajemi.
3.Trump katoa mkwara baada ya drone kushuswa alipoulizwa na waandishi wa habari kuwa utapeleka jeshi kuishambulia Iran?? kabaki kujibu "You 'll find out"-! [emoji23]
 
Ni wakati wa Marekani kujitathmini upya ile heshima ya kuvimba imeenda wapi?

1.Huawei tu wamekausha hakuna kujishusha.
2.Drone limeporomoshwa na Muajemi.
3.Trump katoa mkwara baada ya drone kushuswa alipoulizwa na waandishi wa habari kuwa utapeleka jeshi kuishambulia Iran?? kabaki kujibu "You 'll find out"-! [emoji23]
Vitu sio mchezo mjomba!
 
Back
Top Bottom