Irani yaishangaza dua

Irani yaishangaza dua

Sasa walionaje kwenye radar kama transponders zilizimwa na hata zingekua on wangeidungua tu drone kama ile haina offensive mechanism ya ku neutralize missile

Na kwaku zima hizo transponders na vifaa vingine ili isionekane hapo wamekiuka international rules za aviations
Uko sahihi...bro'
Kwa watu kama sisi wenye Teknolojia butu ndio tutashangaa... Lakini Weledi katika Uga huu wanajua kupambana na kila Mbinu ya Adui. Jeshi la Ulinzi la Iran IRGC wameushangaza dunia kuwa hata Ndege iwe ya kiitaalamu kiasi hicho na yenye mbinu za Kijasusi. Mitambo yao bado ina uwezo wa kugundua.

Tusubiri tutafahamu walitumia njia gani?
 
Hivi kwa nini maraisi wa US wakikaribia kuondoka wanaanzisha vita? Ona Bushi, Ona Obama, Ona huyu Trump nae.

Nasikia aliruhusu vita halafu wakati wanaanza kufanya maandalizi akasitisha ghafla.

Pia wana take advantage ya nchi washirikia wa mashariki kutokuwa na umoja. Hivi leo tungesikia China wamesogeza manoali zao, Urusi wamesogeza na propaganda zikaanza haya mambo yangeisha.
 
Ndege ya kijasusi ya Marekani isiyo na rubani (Drone) aina ya MQ-4C iliyodunguliwa na Makombora ya Iran, ndio ndege kubwa na ya kisasa kabisa kuliko ndege zote zisizo na rubani za Marekani, Ndege hii ina kasi mara nne ya ndege ya Kivita F-16. Gharama ya ndege moja ni Dola za Marekani Milioni 131

Na kufanya kuwa ndege isiyo na rubani (drone) ya ghali kuliko zote duniani. Mradi wa Kutengeneza Ndege hii uliidhinishwa``` mwaka 2018 ni miezi 13 iliyopita.

Ndege hii imeundwa kwa kuwekewe aina zote za tekinolojia za ulinzi za Marekani. Wakati ndege hii ilipokuwa ikipita katika Anga la Iran, Vifaa vyote vinavyoweza kusababisha ikagunduliwa (detecting device) vilizimwa.

Swali la kujiuliza: Je Taifa la Iran limewezaji kuigundua ndege hii ya Kijasusi na kuweza kuisambaratisha kwa shambulio moja tu aina hii ya ndege ya Kisasa kabisa kwa Marekani?

Wakati ndege hii ilipokuwa ikipita katika Anga la Iran, Vifaa vyote vinavyoweza kusababisha ikagunduliwa (detecting device) vilizimwa.

Hii ndio faida ya kumiliki tekinolojia ya ndani ya nchi. Bila msaada wa mataifa Adui. Hili ni somo tosha kwa Mataifa yanayotegemea Silaha za Adui kujilinda.

Kwa taarifa nilizonazo Mfumo unaohamishika wa makombora ya Anga ndio uliotumika kuangusha na ndege hii. Iran ina mengi ya Kushangaza lakini bado Dunia haijatambua hilo. Hii ndio faida ya kumiliki tekinolojia ya ndani ya nchi. Bila msaada wa mataifa Adui.

Hili ni somo tosha kwa Mataifa yanayotegemea Silaha za Adui kujilinda.
View attachment 1132952View attachment 1132953View attachment 1132954View attachment 1132955
Salute Iran 🙏🙏🙏🙏🙏
 
Hiyo drone iliingia anga ya Iran!!

Hata ingeingia Tanzania tu ,Tanzania ilikuwa na mamlaka ya kuitungua

Kuna US marine zimepaki kwenye Maji ya kimataifa karibu kabisa na Iran' hapo ndio kuna shughuli Iran anabaki roho juu

Hizo drone zinaenda Iran kila uchao kupiga Picha matukio hiyo ni ajali kazini tu mkuu

Pia kumbuka lengo kuu la USA Kule Iran ni kufanya biashara anamchezesha naye anacheza mziki
Endelea kuota.Pumbaavu USA.Ashachezea za uso.
 
Mwandiko mbaya
Ndege ya kijasusi ya Marekani isiyo na rubani (Drone) aina ya MQ-4C iliyodunguliwa na Makombora ya Iran, ndio ndege kubwa na ya kisasa kabisa kuliko ndege zote zisizo na rubani za Marekani, Ndege hii ina kasi mara nne ya ndege ya Kivita F-16. Gharama ya ndege moja ni Dola za Marekani Milioni 131

Na kufanya kuwa ndege isiyo na rubani (drone) ya ghali kuliko zote duniani. Mradi wa Kutengeneza Ndege hii uliidhinishwa``` mwaka 2018 ni miezi 13 iliyopita.

Ndege hii imeundwa kwa kuwekewe aina zote za tekinolojia za ulinzi za Marekani. Wakati ndege hii ilipokuwa ikipita katika Anga la Iran, Vifaa vyote vinavyoweza kusababisha ikagunduliwa (detecting device) vilizimwa.

Swali la kujiuliza: Je Taifa la Iran limewezaji kuigundua ndege hii ya Kijasusi na kuweza kuisambaratisha kwa shambulio moja tu aina hii ya ndege ya Kisasa kabisa kwa Marekani?

Wakati ndege hii ilipokuwa ikipita katika Anga la Iran, Vifaa vyote vinavyoweza kusababisha ikagunduliwa (detecting device) vilizimwa.

Hii ndio faida ya kumiliki tekinolojia ya ndani ya nchi. Bila msaada wa mataifa Adui. Hili ni somo tosha kwa Mataifa yanayotegemea Silaha za Adui kujilinda.

Kwa taarifa nilizonazo Mfumo unaohamishika wa makombora ya Anga ndio uliotumika kuangusha na ndege hii. Iran ina mengi ya Kushangaza lakini bado Dunia haijatambua hilo. Hii ndio faida ya kumiliki tekinolojia ya ndani ya nchi. Bila msaada wa mataifa Adui.

Hili ni somo tosha kwa Mataifa yanayotegemea Silaha za Adui kujilinda.
View attachment 1132952View attachment 1132953View attachment 1132954View attachment 1132955
Acha kumezesha watu ujinga wako huo,kabla ya yote type source ya habari yako hii,Unaisifia Drone utafikiri umeitengeneza we we.Weka hapa source ya habari hiyo!!!
 
Mikwara tu hii mbona mpaka sasa hawajatuma hata bomu la chupa na mchanganyiko wa petrol nchini Iran. ...Jamaa wana mikwara sana. .Walikuwa zamani now days hakuna anaye waogopa
Mabomu watakayoangushiwa usiku wa kuanzia leo na siku chache zijazo cha moto watakiona.
 
Hahaha acha masihara mkuu
Jeshi letu...ni jeshi lipi lile tunaloona kwenye TV wakupasu matofali kifuani na Kulalia Msumari au la kuvuta Pikipiki kwa Meno na Kuchezea Nyoka. Jeshi letu lipi lile ambalo la lilitangaza kupambana na Maandamano ya Mange kimambi.

Bro Jeshi lipi hilo??? Unalosema linaweza kidungua ndege ya Kijasusi ya Marekani???
 
Putin akitia neno tu jamaa huufyata. Kule Venezuela pia walitaka kuweka kibaraka chao baada ya Putin kutia mguu wakasepa hawaizungumzii tena Venezuela. Kwa sasa mtemi wa dunia ni Putin.

Mikwara tu hii mbona mpaka sasa hawajatuma hata bomu la chupa na mchanganyiko wa petrol nchini Iran. ...Jamaa wana mikwara sana. .Walikuwa zamani now days hakuna anaye waogopa
 
JUST IN: A US official with direct knowledge says a military operation to strike Iran was set to begin last night when President Trump called it off. The official spoke on the condition of anonymity because of the sensitivity of the information. cnn.it/2L5n3Zn

Kwa hiyo mkuu --umewaamini ''"sio kwamba wameamua kufikia huo uamuzi baada ya kuuona moto wa Iran kuwa hauzimiki. ..Halafu mbona kule Venezuela wamekimbia '? Haha
 
Sio mimi niliyesema aise... umekosea kuni quote

Back
Top Bottom