Irani ikishambulia ndani ya nchi ya Israel itakua mwisho wa serikali ya kiislam ya Iran

Naungana na wewe ktk vita itaifanya Iran kupotea kabisa ktk Ramani ni kurusha japo kaboom kamoja Israel kiufupi sio Israel tu ila mataifa yote ya west yanaham kuipoteza Iran kwa sababu ndio chanzo cha shida middle East. Mbaya zaid ndio anaye mpa kiburi Putin yaaniiii kitanukana
 
Haya sasa Iran keshatimiza ahadi yake mnasemane sasa. Kwa dharau kawapa taarifa 72hrs kabla kwamba keshokutwa nampiga Israel msipojipanga shauri yenu😄
 
Haya sasa Iran keshatimiza ahadi yake mnasemane sasa. Kwa dharau kawapa taarifa 72hrs kabla kwamba keshokutwa nampiga Israel msipojipanga shauri yenu😄
Kampigaje sasa! Hakuna bomu kamili hata moja lililoingia Israel. Mabomu yoote yalipanguliwa hewani! Sasa subiri show ya Israel! Akiachia moja limo!
 
hahaa we Iran umezingua wachambuzi aisee.... mkuu hivi umeshapata taarifa? Iran keshapiga huko umesikia kinachoendelea?
 
Wewe ulipotezwa na propaganda za NATO na wishifull thinking kwamba Putin hatamaliza mwaka 2023 na Sasa tumefika robo ya mwaka 2024 Putin hajafa na kashinda tena uchaguzi.
Wewe tabiria wanasiasa uchwara wa Tanzania tu.
Iran, North Korea, China, na USA siyo Libya au Iraq.
BTW, I hate war. Maghaidi wa Palestine wameuwa watu wasiokuwa na hatia, Israel pia inauwa watu wasio kuwa na hatia kama Ukraine walivyo uwa raia wao wasio nanhatia wenye asili ya Urusi.
Na sasa Ukraine anazidi kuwapeleka kinguvu watu wake wakafe kwenye vita ambayo hawawezi kushinda sababu ya tamaa za viongozi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…