Hizi ni pande mbili ndugu.Wewe lione hivyo kama dangaji lakini hata kwa maisha yako haya ya kila siku kwa nchi zetu hizi, kuna watu maisha yao kuendelea kuishi yanawategemea wao.hasa kwenye sekta ya Afya
Muache uchokozi kwani mkitulia nani atawafwataKila siku huko Palestina anauwa vitoto kwa kuwapiga risasi
Kwani kati ya Israel na Palestine ni nchi gani ilitangulia kuanza?
Unajua kwa taifa la USA hauwezi kuwa rais bila kuwa na chembechembe za Jews?
Unaunganisha dots tu
"Tonight’s multiple attacks in Erbil was conducted by missiles, and none of the missiles hit the new US consulate which is still under construction in Erbil, but areas around the compound was hit by the missiles," Mr Ghafuri said.Jana usiku 12 ballistic Missiles kutoka Iran zililenga base ya Marekani nchi Iraq ya Erbil na kusababisha kuteketezwa kambi hio, hii ni mara ya pili Iran kushambulia direct kutoka Iran mpaka kwenye kambi za Marekani
NB: Member wa Nato mmoja akishambuliwa Nato wote huwa wana haki ya kukushambulia je Nato wataweza kujibu mapigo?
BREAKING: Reports of multiple Fateh-110 short-range ballistic missiles striking the US base in Erbil, Iraq
#BREAKING: Ballistic missile strikes reported on US airbase in northern Iraq, near Erbil
View attachment 2148745
View attachment 2148746
Jibu kwa hoja sio kusema uzandiki, kwanza masuala ya dini kwangu michosho tu, na nimesoma history 3 hiyo middle East crisis imelalaAcha uongo wako na uzambiki. Wewe unaangalia israel ya sasa soma history ya middle east. Watu tunafahamu ukweli hata hao Palestine ukweli wanaujuA
alimkataza?ukomunist ndio uislam? ila nyie!KIPINDI ANAUWAWA YULE GENERAL WA IRAN ,IRAN ALITAKA KUPIGA ILA MRUSI ALIMKATAZA SAFARI HII KAMPA GO AHEAD
Dini hii haishi kulalamika wako kama walemavu na watu wafupi kutwa kulalamaBaadae utasikia misikitini waislam tunaonewa dah yaani hawa jamaa ngoja nami niige utamaduni wa kiarabu niwazuge kama myemen.
Waswahili bwana, hatari sana wanajua kuunganisha dotsKIPINDI ANAUWAWA YULE GENERAL WA IRAN ,IRAN ALITAKA KUPIGA ILA MRUSI ALIMKATAZA SAFARI HII KAMPA GO AHEAD
kwanini umeuliza hivyo?Hvi we unamatatizo gani?
Mara ngapi aguswe?Wamegusa mdudu asie guswa...
Huyu dini yake ndo tatizo@struggle man
Ufike mahali uwe na akili za kiutu uzima na ubinadamu.
Vita haijawahi kuwa baraka.
Iran bado sana kumtunishia Mmarekani hadi karne nyingi zijazo.
Huu ni ushabiki wa kitoto sana na usiombee yatokee unayoyaombea kwani watakufa watu bure na hasa watoto na wanawake watateseka bure.
Ombea amani duniani mkuu
Na tutaendelea ipiga PalestinaKwani nyinyi si mnafurahi Israel inaposhambulia Palestina na chakushangaza mnafurahi na kejeli, mm huwaga napenda kuongea ukweli
Points@struggle man
Ufike mahali uwe na akili za kiutu uzima na ubinadamu.
Vita haijawahi kuwa baraka.
Iran bado sana kumtunishia Mmarekani hadi karne nyingi zijazo.
Huu ni ushabiki wa kitoto sana na usiombee yatokee unayoyaombea kwani watakufa watu bure na hasa watoto na wanawake watateseka bure.
Ombea amani duniani mkuu
Hapana Watanzania wengi hawampendi mmarekaniUkireview comments za watanzania wengi wanapenda WW3 itokeee
Bila kujua mdhara yake kwetu. Mnapenda ushabiki na chuki kwa waliofanikiwa
Kwani vipi boss mbona Kama unamg'ong'a sentensi ya Kwanza Ni maoni ya pili ni fact Kwamba short range missile Zina spidi Kali ku be intercepted na mifumo ya ulinzi was angaHvi we unamatatizo gani?