Iran yashambulia kambi za Marekani kwa Ballistic Missiles 12 wanazosema zinatumiwa na Mossad nchini Iraq

Wewe lione hivyo kama dangaji lakini hata kwa maisha yako haya ya kila siku kwa nchi zetu hizi, kuna watu maisha yao kuendelea kuishi yanawategemea wao.hasa kwenye sekta ya Afya
Hizi ni pande mbili ndugu.
 
Acha uongo wako na uzambiki. Wewe unaangalia israel ya sasa soma history ya middle east. Watu tunafahamu ukweli hata hao Palestine ukweli wanaujuA
Kwani kati ya Israel na Palestine ni nchi gani ilitangulia kuanza?
Unajua kwa taifa la USA hauwezi kuwa rais bila kuwa na chembechembe za Jews?
Unaunganisha dots tu
 
Jana usiku 12 ballistic Missiles kutoka Iran zililenga base ya Marekani nchi Iraq ya Erbil na kusababisha kuteketezwa kambi hio, hii ni mara ya pili Iran kushambulia direct kutoka Iran mpaka kwenye kambi za Marekani

NB: Member wa Nato mmoja akishambuliwa Nato wote huwa wana haki ya kukushambulia je Nato wataweza kujibu mapigo?

BREAKING: Reports of multiple Fateh-110 short-range ballistic missiles striking the US base in Erbil, Iraq

#BREAKING: Ballistic missile strikes reported on US airbase in northern Iraq, near Erbil
View attachment 2148745

View attachment 2148746
"Tonight’s multiple attacks in Erbil was conducted by missiles, and none of the missiles hit the new US consulate which is still under construction in Erbil, but areas around the compound was hit by the missiles," Mr Ghafuri said.
 
Acha uongo wako na uzambiki. Wewe unaangalia israel ya sasa soma history ya middle east. Watu tunafahamu ukweli hata hao Palestine ukweli wanaujuA
Jibu kwa hoja sio kusema uzandiki, kwanza masuala ya dini kwangu michosho tu, na nimesoma history 3 hiyo middle East crisis imelala
Nazungumzia history ya Israel baada ya 1948 kama taifa lililoanzishwa kwa ung'ang'anizi wa USA na nchi washirika
 
@struggle man
Ufike mahali uwe na akili za kiutu uzima na ubinadamu.
Vita haijawahi kuwa baraka.
Iran bado sana kumtunishia Mmarekani hadi karne nyingi zijazo.
Huu ni ushabiki wa kitoto sana na usiombee yatokee unayoyaombea kwani watakufa watu bure na hasa watoto na wanawake watateseka bure.
Ombea amani duniani mkuu
Huyu dini yake ndo tatizo
 
Points
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom