Iran yashambulia kambi za Marekani kwa Ballistic Missiles 12 wanazosema zinatumiwa na Mossad nchini Iraq

Hamna kambi iliyoshambuliwa na kwa sasa Iran hatokua na ubavu huo maana kwa namna dunia inavyotikisika bila kueleweka eleweka hamna taifa linataka kusikika, hata mataifa ya Kiarabu yote yapo kimya....
Acha uongo ww mpuuzi unataka kugeuza ukweli kwa uongo wako, wenzako wanachezea kichapo huko ww unaleta ushabiki maandazi na mgazeti yako ya Washington hapa, ndio nyie mnaosema Urusi anapigwa wakati kucha kutwa anayatwaa majimbo huko, endelea kuota na propaganda zako
 
Kwani nyinyi si mnafurahi Israel inaposhambulia Palestina na chakushangaza mnafurahi na kejeli, mm huwaga napenda kuongea ukweli
Na ukristo wangu sijawahi furahia hilo taifa la Israel juu ya udhalimu wake kwa palestina, USA kwasasa hana nguvu ya kujifanya super power kwani anapata changamoto nyingi kwa mataifa makubwa kama China, Russia huku Waingereza wenyewe hawana ubavu kuichumi, Japan athari za Hiroshima na Nagasaki bado ni kovu tisha, Germany hana mpango wa vita.
Akijichanganya wanaume wataenda kumpiga kwake
 
Acha uongo ww mpuuzi unataka kugeuza ukweli kwa uongo wako, wenzako wanachezea kichapo huko ww unaleta ushabiki maandazi na mgazeti yako ya Washington hapa, ndio nyie mnaosema Urusi anapigwa wakati kucha kutwa anayatwaa majimbo huko, endelea kuota na propaganda zako

Bro una ushabiki wa kifara sana Una source yako ya Habari naye ana source yake ya Habari. Haukuwa kwenye shambulio what make you think you’re correct?
 
Na ukristo wangu sijawahi furahia hilo taifa la Israel juu ya udhalimu wake kwa palestina, USA kwasasa hana nguvu ya kujifanya super power kwani anapata changamoto nyingi kwa mataifa makubwa kama China, Russia huku Waingereza wenyewe hawana ubavu kuichumi, Japan athari za Hiroshima na Nagasaki bado ni kovu tisha, Germany hana mpango wa vita.
Akijichanganya wanaume wataenda kumpiga kwake
Yeah, watu humu wananishangaza sana, eti wanachanganya uyahudi na ukiristo kitu ambacho hivi vitu ni viwili tofauti, big up kwa kuongea ukweli
 
najifariji na lipi wakati nakusahihisha hapo
ila adui wenu mkubwa israel yuko ubia mmoja na urusi mkianza kuchapwa pale palestine mtafute wa kuwafuta machozi
IRGC officially claims responsibility for the missile attack last night on the US/israeli base last night in Erbil, Iraq

“The strategic plotting center of zionist in Erbil was targeted with missiles yesterday”
 
Acha uongo ww mpuuzi unataka kugeuza ukweli kwa uongo wako, wenzako wanachezea kichapo huko ww unaleta ushabiki maandazi na mgazeti yako ya Washington hapa, ndio nyie mnaosema Urusi anapigwa wakati kucha kutwa anayatwaa majimbo huko, endelea kuota na propaganda zako

Hahaha!! Sheikh...Wewe usiye mwongo tupe source ya taarifa zako tukajisomee wenyewe.....
 
Jana usiku 12 ballistic Missiles kutoka Iran zililenga base ya Marekani nchi Iraq ya Erbil na kusababisha kuteketezwa kambi hio, hii ni mara ya pili Iran kushambulia direct kutoka Iran mpaka kwenye kambi za Marekani

NB: Member wa Nato mmoja akishambuliwa Nato wote huwa wana haki ya kukushambulia je Nato wataweza kujibu mapigo?

BREAKING: Reports of multiple Fateh-110 short-range ballistic missiles striking the US base in Erbil, Iraq

#BREAKING: Ballistic missile strikes reported on US airbase in northern Iraq, near Erbil
View attachment 2148745

View attachment 2148746
Mambo yalianzia hapa iran walisema israel na marekani watalipa na watajibu na wamejibu kweli

Mambo yalianzia hapa

IRGC: Israel italipa gharama ya kuua shahidi Wairani wawili huko Syria
Mar 09, 2022 10:24 UTC
IRGC: Israel italipa gharama ya kuua shahidi Wairani wawili huko Syria
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema hakuna shaka utawala wa Kizayuni wa Israel utalipa gharama kubwa kwa jinai yake ya kutekeleza shambulizi lililopelekea kuuawa shahidi askari wawili wa SEPAH nchini Syria.

Taarifa ya Ofisi ya Uhusiano Mwema ya IRGC imeeleza kuwa, shambulizi la kombora la utawala haramu wa Israel viungani mwa mji mkuu wa Syria, Damascus juzi Jumatatu liliua shahidi mashujaa wawili wa jeshi hilo, ambao ni Kanali Ehsan Karbalaeepour na Kanali Morteza Saeednejad.

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu limesisitiza kuwa, hakuna chembe ya shaka kuwa litalipiza kisasi kwa jinai hiyo iliyofanywa na Wazayuni maghasibu.

Hii si mara ya kwanza kwa utawala huo khabithi kufanya hujuma dhidi ya washauri wa kijeshi wa Kiirani, ambao wako nchini Syria kwa mwaliko rasmi wa Rais halali wa nchi hiyo, Bashar al-Assad.
 
Back
Top Bottom