fantastic philip
Senior Member
- Oct 17, 2015
- 194
- 680
Kumbe unazungumzia juzi miaka ya 1940's wewe bado mtoto mdogo. Sisi tunarecall B.C1770's & 1870's
Kumbe unazungumzia juzi miaka ya 1940's wewe bado mtoto mdogo. Sisi tunarecall B.C1770's & 1870's
Kwa hiyo Iran ameshikiliwa akili na Urusi?!KIPINDI ANAUWAWA YULE GENERAL WA IRAN ,IRAN ALITAKA KUPIGA ILA MRUSI ALIMKATAZA SAFARI HII KAMPA GO AHEAD
utamuona tu MKUUIran itakuwa anasingiziwa mengine, kama ni kweli zimeshambuliwa itakuwa na Mrusi anajibu mapigo kwa msaada wa US huko Ukraine. Kwa huu muda Iran akiwa busy ku negotiate mkataba wa mambo ya nuclear simwoni akiweza kufanya mambo ya namna hii.
sasa kama wewe ungekua NATO unahisi ungemfanya nini PUTIN nakwauwezo gani ulonao dhidi yakeNdio NATO na Marekani wajue hatari ya kumuacha Putin afanye atakayo. Ni wazi Russia wana mkono wao katika hili.Kuna kitu kinatafutwa hapa.
Huwa wanafanyaje kuzizuia?Kuna baadhi wanasema katumwa na Putin, kambi hizi zilikua zikishambuliwa na viroketi kutoka kwa wanamgambo kipindi cha nyuma ila jana Iran kapiga kabisa direct kutoka Iran mpaka kwenye kambi hizo kwa short range Ballistic Missiles, air defense kutungua ballistic missiles ni ngumu sana kutokana na speed yake